Nuru FM

kijamii

31 October 2021, 7:01 pm

Mh. Kiswaga akabidhi viti 10 Tagamenda

Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mh. Jackson Kiswaga amekabidhi Viti 10 vya plastiki katika kijiji cha Tagamenda baada ya kuahidi katika ziara zake za kikazi. Mh. Kiswaga ametoa viti hivyo mara baada ya kutembelea kijiji hicho na kukabidhi kwa mwenyekiti…

7 September 2021, 6:16 pm

Dc Moyo aonya watakaovujisha mitihani ya darasa la saba

Uongozi wa Halmshauri ya wilaya ya Iringa umesema kuwa Kuelekea mitihani ya Darasa la saba  ambayo itaanza kufanyika Sept 8 mwaka huu, vyombo vya ulinzi na usalama viko makini ili kuhakikisha mitihani inafanyika kwa amani. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa…

3 September 2021, 9:21 am

Dc Moyo aagiza kukamatwa wazazi watakaowaozesha wanafunzi

Iringa Na Hafidh Ally Mkuu wa Wilaya ya Iringa ameagiza kuwafikisha Mahakamani wazazi watakaobainika kuwashawishi watoto Wao kufeli kwa makusudi mitihani ya kuhitimu darasa la Saba kwa lengo la kuwaozesha na ama kwenda kuwatumikisha katika kazi za ndani nje ya…

3 September 2021, 9:01 am

Wanaume wa mahanzi iringa wapigwa na wake zao

Iringa Na Hafidh Ally Wanaume wa Kijiji cha Mahanzi Kilichopo Kata ya Wasa Wilaya ya Iringa wamelalamikia vitendo vya wanaume kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa na wake wao. Wakizungumza katika  Ziara ya kikazi ya Mkuu wa Wilaya…

9 July 2021, 6:57 am

Ukosefu wa maji kwa wananchi ilula

Wananchi wa kijijiji Cha Igingilanyi Kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wako katika hatari ya kupata maradhi ya kuhara kutokana na kukosekana kwa huduma ya maji Safi na salama. Wananchi hao wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya maji katika…

21 June 2021, 4:05 pm

Changamoto ya Ukosefu wa zahanati

Wananchi wa kijiji Cha Ugute kata ya isalavanu Mkoani iringa wanakabiliwa na Changamoto ya Ukosefu wa zahanati jambo linalowafanya wafuate huduma za afya katika kijiji Cha Jirani Wakizungumza na Nuru FM baadhi ya wananchi wa kijiji hicho wamesema kuwa Ukosefu…

8 June 2021, 9:06 am

”Serikari itutengenezee barabara”…..

Wananchi wa kijiji cha Kilosa Kata ya Ihanu Wilaya ya Mufindi Mkoani iringa wamelalamikia ubovu wa barabara katika kijiji chao jambo linalosababisha kukosekana kwa usafiri. Aidha wanakijiji hao wameiomba serikali kuwarekebishia barabara ambayo ndio kitovu cha uchumi wa mkoa wa…