Nuru FM

kijamii

5 April 2022, 8:20 am

Shilingi bilioni 93.1 zatumika kwenye miradi ya mendeleo Iringa

Sh93.1 bilioni zimetumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Iringa ikiwemo ujenzi wa barabara ya Kihesa Kilolo – Igumbilo itakayosaidia kupunguza msongamano wa magari mjini. Kwa sasa magari yote yanapita katikati ya mji na kusababisha msongamano mkubwa kutokana na ukosefu…

4 April 2022, 4:56 pm

Kamanda Mutafungwa: Marufuku Malori, Gari Za IT Kupakia Abiria

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limepiga marufuku magari yote ya mizigo pamoja na magari yanayokwenda  nje maarufu kama IT kubeba abiria huku likitoa anyo kwa wamiliki ambao wanaingiza magari mabovu babaranani na kusababisha ajali. Akizungumza wakati wa kufunga…

4 April 2022, 4:53 pm

Ajali ya Basi Dodoma Yaua Watu Wanne

Watu wanne wamefariki dunia na 19 kujeruhiwa mkoani Dodoma katika ajali iliyohusisha basi la Geita Express kugongana na Fuso jana Jumapili Aprili 3, 2022. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga amesema ajali hiyo…

28 March 2022, 5:37 pm

Profesa Ngowi afariki dunia ajalini

Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo alilokuwa anasafiria kwenda mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali…

26 March 2022, 6:54 am

Machi 28, 2022 wapangaji wanunuzi kuhamia

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA,) imefanyia kazi maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Machi 23 mwaka huu wakati wa uzinduzi wa nyumba za makazi za Magomeni Kota juu ya wakazi hao kununua nyumba hizo kwa utaratibu wa mpangaji- mnunuzi.…