Nuru FM

kijamii

13 March 2024, 9:32 pm

Madereva daladala Iringa wagoma tena

Serikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya muda mrefu ya Madereva wa Daladala ambayo yamekuwa kero kwa watumiaji. Na Azory Orema Wananchi wanaotumia usafiri wa daladala Manispaa ya Iringa wamelalamikia ugumu wa usafiri wao baada ya daladala zinazopakia abiria kugoma kufanya…

12 March 2024, 5:34 pm

Andikeni habari zinazogusa jamii

Na Adelphina Kutika Waandishi wa habari mkoani Iringa wametakiwa kuachana na uandishi wa kawaida na badala yake wajikite kuandika habari za wananchi ili kuwaongezea heshima katika jamii. Agizo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Iringa Press Club (IPC) Frank Leonard katika…

12 March 2024, 11:22 am

RC mpya Iringa ahimiza weledi

Watumishi wazembe katika ofisi za umma waonywa ili kuleta maendeleo mkoani Iringa. Na Godfrey Mengele Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewataka watumishi waliopo katika idara mbalimbali kufanya kazi kwa weledi na kutoa huduma kwa jamii na kuacha kufanya…

7 March 2024, 4:10 pm

Acheni kwenda na watoto kilabuni

Utaratibu wa wazazi kwenda na watoto Vilabuni chanzo Cha ongezeko la Ukatili dhidi ya watoto Mkoani Iringa. Na Joyce Buganda Mkuu wa Dawati la jinsia na watoto Mkoa wa Iringa Mkaguzi wa Polisi, Elizabeth Swai amewaasa Wanawake kuacha tabia ya…

5 March 2024, 8:57 am

Iringa yaunda kamati kutatua changamoto za machinga

Na Hafidh Ally Mkoa wa Iringa umeunda kamati ndogo itakayofanya kazi siku saba kushughulikia ombi la wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga la kuwaruhusu wanawake kufanya shughuli zao katika eneo la mashine tatu muda wa jioni. Mkuu wa mkoa huo Halima Dendego…

4 March 2024, 12:24 pm

Iringa kuzindua mkakati wa kukabili udumavu

Licha ya takwimu kuonesha kuwa hali ya udumavu nchini imepungua hadi kufikia asilimia 30 mwaka 2022, bado mikoa ya Iringa na Njombe ina hali ya udumavu wa kutisha. Na Frank Leonard Wakati baadhi ya wadau wakionekana kutoziafiki takwimu zinazoonesha mkoa…

3 March 2024, 8:14 pm

PJT MMMAM yazinduliwa Iringa Manispaa

Na Joyce Buganda Mhe. Ibrahim Ngwada Mstahiki Meya Manispaa ya Iringa amezindua rasmi program jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto PJT-MMMAM huku watendaji na wananchi wakitakiwa kushiriki vema katika kutekeleza programu hiyo. Hayo yamezungumzwa…

3 March 2024, 8:00 pm

Dkt. Mwinyi amkushukuru Rais Samia msiba wa Mwinyi

Na Mwandishi wetu Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa bega kwa bega tangu Rais wa awamu ya pili, hayati Ali Hassan Mwinyi alipoanza kuugua mwezi Novemba na kupelekwa Uingereza kwa matibabu. Rais…

2 March 2024, 8:16 pm

Polisi yatoa ufafanuzi kifo dereva wa ASAS

Na Hafidh Ally Jeshi la Polisi limeanza kuchunguza taarifa ya kifo cha cha dereva Martin Chacha Mwita wa kampuni ya Transfuel Logistics Ltd aliyefariki mjini Iringa wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Wakati uchunguzi huo…

1 March 2024, 12:13 pm

Mradi wa SLR waanza kuleta matokeo Iringa

Na Frank Leornad WANANCHI waliofikiwa na Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai (SLR) unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais wameanza kuitumia elimu wanayopatiwa katika mashamba darasa wilayani Iringa, kuifanya kuwa endelevu ili kuwakwamua kiuchumi. Baadhi…