Recent posts
18 July 2024, 2:03 pm
Polisi Manyara yakamata watuhumiwa 50 wa uhalifu
Jeshi la polisi mkoani Manyara limewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi kwa kufichua wahalifu wa makosa ya ukatili wa kingono, dawa za kulevya na umiliki wa silaha kinyume na sheria ili mkoa uendele kuwa salama. Na Angela…
18 July 2024, 11:35 am
Nkigi: Abiria acheni uoga
Abiria mkoani Manyara wametakiwa kupaza sauti zao na kutokuwa waoga wanapoona kuna changamoto katika vyombo vya usafiri kama dereva kukimbiza gari kwa kutoa taarifa katika vyombo vya sheria ikiwemo jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani pamoja na chama cha…
11 July 2024, 5:42 pm
Sendiga amaliza mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na halmashauri ya Babati Mji
mgogoro wa ardhi
9 July 2024, 4:34 pm
Magereza Babati yatimiza agizo la Rais Dk Samia
Na George Augustino Baada ya agizo la Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassankuzitaka taasisi zote za serikali ikiwemo magereza kuacha kutumia kuni na mkaa na badala yake kutumia nishati safi ya kupikia ili kutunza mazingira…
3 July 2024, 4:25 pm
Mzee wa miaka 78 ambaka binti mlemavu wa miaka 10
Baada ya mzee wa miaka 78 kumbaka binti wa miaka kumi mwenye ulemavu wilayani Babati mkoani Manyara jeshi la polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo kutokana na matukio mengi kama hayo kutokea katika mkoa wa Manyara. Na…
2 July 2024, 7:46 pm
Polisi Babati yawasaka waliohusika na mauaji ya mwizi wa bodaboda
Baada ya kijana mmoja anayedaiwa kuhusika kula njama ya kuiba pikipiki kuuliwa kwa kupigwa na kuchoma moto na madereva pikipiki maarufu bodaboda wilayani Babati mkoani Manyara, wanasakwa na jeshi la polisi kwa kuhusika na tukio hilo. Na George Augustino Jeshi la…
28 June 2024, 6:50 pm
Serikali yatoa bil.4 ujenzi shule ya wavulana Manyara
Sendiga azindua shule ya sekondari ya wasichana ya mkoa wa Manyara ambayo inatarajia kupokea wanafunzi wakike 142 wa kidato cha tano wa mchepuo wa masomo ya Sayansi kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na George Augustino Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen…
28 June 2024, 5:15 pm
BoT yazitaka taasisi za kifedha Manyara kujisajili
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutokuchukua mikopo kwa wakopeshaji binafsi ili kuondokana na riba kandamizi pamoja na kujua sheria itakayo mlinda pindi anapochukua mkopo katika Taasisi za kifedha Na Emmy Peter Tasisi za huduma ndogo za fedha zinazokopesha fedha wilayani Babati mkoa wa…