Recent posts
5 September 2024, 7:06 pm
Polisi kufanya uchunguzi kifo cha dereva wa Mtei express
Kutokana na kifo cha dereva wa basi la Mtei express Iddi Salehe kupigwa hadi kuuwawa na dereva wa lori, jeshi hilo limesema linaendelea na uchuguzi wa kifo hicho ili mtuhumiwa afikishwe mahakamani. Na Mzidalfa Zaid Jeshi la polisi mkoani Manyara…
5 September 2024, 6:40 pm
Twange akabidhi ofisi kwa DC mpya
Baada ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Babati Lazaro Twange kukabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa wilaya ya Babati ,amezishukuru taasisi zote zilizopo chini ya ofisi hiyo kwa kumuonyesha ushirikiano katika utendaji wa kazi wakati wote alipoKuwa akifanyakazi katika wilaya…
2 September 2024, 5:49 pm
Zaidi ya watoto elfu kumi wenye miguu kifundo wapatiwa matibabu
Kambi ya siku tano ya matibabu imeanza leo katika kata za Galapo na Qash kwa ufadhili wa shirika la So they can, kwa kutibu magonjwa mbali mbali ikiwemp kutibu watoto wenye changamoto ya miguu kifundo. Na Marino Kawishe Zaidi ya…
31 August 2024, 7:21 pm
Ajali yauwa wanne Manyara
Wanafunzi watatu na dereva mmoja wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Babati mkoani Manyara. Na Mzidalfa Zaid Watu wanne wamepoteza maisha wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha Coaster na gari la mizigo aina ya Scania katika eneo la…
31 August 2024, 7:16 pm
Jeshi latoa tuzo Kwa bilionea Mulokozi
Taasisi ya kijeshi ya command and staff college imetoa tuzo kwa Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mati super brands ltd David Mulokozi kutokana mchango mkubwa aliounyesha katika taasisi hiyo. Na Mzidalfa Zaid Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mati super brands…
26 August 2024, 7:45 pm
Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu kufanyika Manyara
Tume huru ya taifa ya uchaguzi imewataka wadau mbali kuhamasisha jamii kujiandikisha kwenye daftri la kudumu la mpiga kura. Na Mzidalfa Zaid Wadau wa uchaguzi wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura mkoani Manyara wametakiwa kuielimisha jamii kuacha…
23 August 2024, 5:53 pm
Wakulima watakiwa kuuza mazao stakabadhi ghalani
Wakulima mkoani Manyara wametakiwa kuacha tabia ya kuuza mazao kwa walanguzi. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kujiunga na kusajiliwa kwenye vyama vya ushirika ili kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na vyama hivyo ili wafanye kazi zao za kuuza…
22 August 2024, 4:37 pm
Mwigulu asema serikali inaboresha mazingira bora ya elimu
Waziri wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uhasibu Arusha kamapasi ya Babati Na Mzidalfa Zaid Waziri wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba amesema uwepo wa chuo cha uhasibu Arusha kampasi ya…
21 August 2024, 5:49 pm
Mita za maji kuhakikiwa Manyara
Wakala wa vipimo mkoa wa Manyara wanatarajia kuanza msako wa kukagua mita za maji ili kubaini kama zinafanya kazi vizuri. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa kwenye ofisi ya wakala wa vipimo ili zihakikiwe kama ziko sahihi…
20 August 2024, 4:29 pm
Madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za kulevya yatajwa
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya Kanda ya Kaskazini yawataka vijana kuacha kutumia dawa za kulevya . Na Mzidalfa Zaid Vijana mkoani Manyara na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla, wametakiwa kuacha kutumia dawa za kulevya kwa kuwa…