Podcasts

15 May 2023, 7:49 pm

Wananchi waendelea kuhimizwa kutumia nishati mbadala

Miongoni mwa madhara hayo ni pamoja na ukame, mafuriko, vimbunga, mioto ya misitu vimeharibu maisha ya mamilioni ya watu na kuwaweka katika hatari zaidi ya kukabiliwa na njaa. Na Alfred Bulahya. Wakati mataifa yote ulimwenguni yakipambana kuzuia ongozeko la joto…

11 May 2023, 9:23 am

Makala fupi kuhusu chanzo mimba za umri mdogo

Uoga wa wazazi na walezi kuzungumza na watoto wao waliopo katika rika balehe manispaa ya Iringa umetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la mimba katika umri mdogo. MWANAHABARI WETU FABIOLA BOSCO AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI……………… MWISHO

8 May 2023, 2:59 pm

Zifahamu dalili za hatari kwa mama mjamzito

Je ni dalili zipi hizo ambazo ni hatari kwa mama mjamzito? Na Yussuph Hassan. Leo tunazugumzia dalili hatari kwa Mama mjamzito ambapo Dkt Abdallah Majaliwa kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anaeleza kuhusu dalili hizo.

4 May 2023, 4:09 pm

Zifahamu sifa za watoto wenye Usonji

Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe. Picha na Yussuph Hassan. Watoto wenye usonji pia wanazo sifa mbalimbali kama anavyo ainisha Dkt. Arapha. Na Yussuph Hassan. Leo tunaendelea kuzungumzia sifa za watoto wenye usonji, tukiungana…

2 May 2023, 1:43 pm

Je Usonji ni nini

Je usonji ni nini na husababishwa na nini. Na Yussuph Hassan. Usonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni, ambapo mtoto huwa na mapungufu kwa kupenda kujitenga na kutotaka kuwa karibu na watu. Usonji ni ugonjwa unaonekana kwa watoto kuanzia mwaka mmoja…

29 April 2023, 14:52 pm

MAKALA – Ladha ya chakula kilichopikwa kwa nishati ya Gesi

Na Musa Mtepa Kutokana na kukuwa kwa Technolojia  Binadamu ameweza kubadilika na kuendana na mazingira husika yanayoendana na mabadailiko hayo  ambayo sio tu kwa wakazi wa mijini bali hata katika maeneo ya Vijijini. Zamani ukienda vijijini na kukutana na Mzee…

27 April 2023, 3:41 pm

Yafahamu matibabu ya Ugonjwa wa surua

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia matibabu ya ugonjwa huo. Yussuph Hassan. Bado tunaendelea kufahamu kwa kina juu ya ugonjwa wa surua, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata…