Dodoma FM
Dodoma FM
25 January 2024, 16:23
Wakuu wa Wilaya za Buhigwe na Kigoma wameagiza kukamatwa mara moja watu wote wanaojihusisha na Ramli Chonganishi maarufu kama Kamchape au Rambaramba, Wanaodaiwa Kupiga Ramli za chonganishi kwenye jamii. Mwanahabari Wetu Kadisilaus Ezekiel Anaripoti zaidi.
25 January 2024, 16:12
Wafanyabiashara katika manispaa ya Kigoma Ujiji, wamelalamikia mpangilio mbovu wa masoko ya kufanyia biashara, hali inayozorotesha uchumi na kushidwa kulipa Kodi baada ya Kuvunjwa soko la Mwanga na kuanzishwa masoko pasipokuwa na mkakati maalumu wa kuyaendeleza. Kadislaus Ezekiel na Taarifa…
24 January 2024, 11:55 pm
Mamlaka zinazohusika na suala hili zinatakiwa kuharakkisha upatikanaji wa huduma ya soko ili wakulima wa mpunga waweze kuuza mchele badala ya kuuza mpunga ambao wanaeleza kuwa faida yake ni ndogo. Na Bernad Magawa. kukosekana kwa soko la uhakika la mchele…
22 January 2024, 09:49
Madiwani wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kusimamia na kuibua vyanzo vya mapato ili kusaidia kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekusanya zaidi ya shillingi billion 19 ambayo ni…
22 January 2024, 09:20
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA wilaya ya Kasulu mkoani kigoma imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha mwezi julai hadi Desemba 2023 ikiwa ni nusu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na, Hagai Ruyagila Akitoa taarifa katika…
4 January 2024, 4:42 pm
katika soko la machinga complex bidhaa zinazoonekana kushamiri ni pamoja na sare za shule kama mashati, sweta za shule madaftari pamoja na viatu vya shule. Na Thadei Tesha.Wakati wanafunzi wakijiandaa kufungua shule kwa ajili ya kuanza masomo yao kwa mwezi…
19 December 2023, 6:41 am
Watu wanashauriwa kufanya maandalizi mapema ya mahitaji kwa ajili ya kipindi cha sikuku ili kuepuka uwepo wa changamoto mbalimbali ikiwemo bidhaa kupanda bei. Na Aisha Alim. Wafanyabiashara wa nguo pamoja na mapambo ya christmas katika eneo la one way Jijini…
14 December 2023, 16:19
Serikali imeombwa kukarabati miundombinu ya barabara na mitaro inayopita katika soko la Gungu Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma. Na Orida Sayon. Wafanyabiashara wa soko la Gungu lililoko kata ya gungu maniapaa ya kigoma ujiji wameitaka serikali kuboresha miundombinu ya…
8 December 2023, 11:09 am
Wachuuzi wa mahindi katika soko la Terrat Wakaazi wa kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro wamelalamikia hali ya mfumuko wa bei ya mahindi ulivyongezeka kwa zaidi ya asilimia 100 kutoka shilingi elfu 7,000 hadi shilingi elfu 15,000. Na Isack Dickson.…
7 December 2023, 2:11 pm
Mfumko wa bei kwa mazao ya nafaka hasa mahindi umeendelea kuwa changamoto kwa jamii ya wafugaji wilayani Simanjiro mkoani Manyara kutoka shilingi 7,000 hadi shilingi 15,000 hali inayosababisha baadhi ya familia kushindwa kumudu gharama za kununua mahindi kwa matumizi ya…