Dodoma FM

ulinzi

3 March 2023, 1:14 pm

Wauzaji wa gesi watakiwa kuwa na mizani ya Vipimo

Hayo ameyasema leo wakati akifungua mafunzo ya wafanyabishara wa gesi za kupikia yaliyoandaliwa na wakala wa Vipimo mkoa wa Dodoma ambapo amewataka wakala huo kuhakikisha baada ya siku 60 wafanyabiashara wa gesi za kupikia wanakuwa na mizani ya vipimo sahihi.…

27 February 2023, 1:17 pm

Baadhi ya wafanyabiashara waeleza jinsi wanavyonufaika

Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda katika soko la sabasaba jijini dodoma wameelezea namna wanavyonufaika na biashara ya kuuza matunda. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda katika soko la sabasaba jijini dodoma wameelezea namna wanavyonufaika na biashara ya kuuza…

22 February 2023, 4:40 pm

Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda waomba eneo la soko

Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali wilayani humo kuwatengea eneo rasmi la kufanyia biashara. Na Bernad Magawa. Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali wilayani humo kuwatengea eneo rasmi la kufanyia…

20 February 2023, 6:09 pm

Madereva kirikuu walalamika kutozwa faini mara kwa mara

Gari ndogo aina ya kirikuu zimekuwa zikifanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali jijini hapa ambapo shughuli hiyo imekuwa ikiwasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupata fursa mbalimbali na kuendesha shughuli zao za kimaisha. Na Thadei Tesha. Madereva wa gari ndogo za …

20 February 2023, 11:18 am

Kusajili alama ya bishara kumetajwa kuwa na umuhimu mkubwa

Kusajili alama ya bishara kumetajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kusaidia kuchangia ongezeko la wafanyabiashara kujitangaza zaidi na kukuza biashara zao. Na Thadei Tesha. Hii ni kwa mujibu wa baadhi ya wafanyabiashara jijini dodoma ambapo wamesema upo umuhimu mkubwa kwa…

7 February 2023, 12:39 pm

Wafanyabiashara walalamikia hali ya soko Ihumwa

Wafanyabiashara katika soko la ihumwa jijini dodoma wameiomba serikali kutengeneza miundombinu ya soko hilo kutokana na eneo wanalotumia kwa sasa kutokutosheleza mahitaji. Na Thadei Tesha. Ni katika soko la ihumwa jijini dodoma ambapo baadhi ya wafanyabiashara katika soko hili wanasema…

3 February 2023, 12:35 pm

Vijana jijini Dodoma watakiwa kushiriki katika fursa

Vijana jijini dodoma wametakiwa kushiriki katika fursa mbalimbali zinazowazunguka na kuacha kuona aibu kufanya shughuli hizo ili waweze kupata kipato na kurahisisha shughuli za maisha. Na Thadei Tesha Hayo yamesemwa na baadhi ya Vijana ambao wanajishughulisha na shughuli ya kukaanga…