Dodoma FM

ulinzi

28 March 2023, 1:42 pm

Biashara ya chakula jijini Dodoma yashuka

Wafanyabiashara wa vyakula jijini Dodoma wamelalamikia ugumu wa biashara hususani katika kipindi hiki ambapo waislamu na baadhi ya wakristo wakiwa katika kipindi cha mfungo. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wa vyakula jijini Dodoma wamelalamikia ugumu wa biashara hususani katika kipindi hiki…

24 March 2023, 4:30 pm

Madereva wa daladala walia na hali mbaya ya biashara

Awali madereva hao walikuwa wakifanyia biashara za uasafirishaji katika kituo cha sabasaba kabla ya kuahamishiwa katika kituo kipya cha machinga Complex . Na Thadey Tesha. Baadhi ya madereva wa daladala jijini Dodoma wamesema kuwa licha ya serikali kuwahamishia katika kituo…

23 March 2023, 5:36 pm

Machinga Dodoma wampongeza Rais Samia

Ni mkutano uliowakutanisha wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga ambapo awali ulitanguliwa na maandamano ya amani kwa ajili ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kutimiza miaka miwili madarakani. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wa biashara ndogondogo maarufu…

22 March 2023, 7:02 pm

Vijana waomba viongozi kutembelea maeneo yao ya kazi

Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa Dodoma wametoa ushauri kwa viongozi mbalimbali kutembelea maeneo yao ya kazi. Na Thadei Tesha. Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa…

21 March 2023, 6:12 pm

Ubuyu ni fursa kwa wafanyabiashara       

Kwa mujibu wa wa wataalamu wa afya ubuyu ni tunda jamii ya adonsonia ambapo umekuwa na matumizi mbalimbali kwani wapo baadhi yao hutumia kama juisi na wengine huongezea thamani kwa kutengenezea bidhaa mathalani  kashata au ubuyu wa rangi. Na Thadei…

20 March 2023, 5:35 pm

Wananchi wahofia bidhaa kupanda bei mwezi mtukufu

Baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo juu ya upatikanaji wa bidhaa za vyakula masokoni kuelekea mwezi wa ramadhani. Na Thadei Tesha. Kuelekea maandalizi ya mwezi mtukufu wa ramadhani baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo…

16 March 2023, 8:36 am

Wafanyabiashara Sabasaba walia na ugumu wa biashara

Awali daldala za jiji la dodoma zilikuwa na kituo kikuu katika soko la sabasaba kabla ya kuhamishiwa kituo katika soko jipya la machinga complex. Na Thadei Tesha. Zikiwa zimepita wiki chache tangu kuhamishwa kwa daldala katika eneo la sabsaba jijini…