ulinzi
5 July 2023, 5:48 pm
Wakulima wa Nyanya watamani viwanda vya kusindika zao hilo
kwa sasa wastani wa bei ya nyanya sokoni ni kati ya shilingi 2000, 2500 hadi 3000 kwa ujazo wa sado moja. Na Tadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara pamoja na wakulima wa nyanya katika soko kuu la majengo jijini Dodoma wameiomba…
30 June 2023, 5:02 pm
Dodoma: Wafanyabiashara waomba kuboreshewa mazingira
Katika eneo hilo zipo daladala zinazoelekea maeneo mbalimbali nje ya jiji ikiwemo Mpunguzi ambapo pia wapo baadhi ya akina mama na wafanyabiashara wadogo wanaojishughulisha na biashara katika eneo hili ingawa hali ya upatikanaji wa wateja sio ya kuridhisha. Na Thadei…
14 June 2023, 4:53 pm
Dodoma: Wafanyabiashara watakiwa kujiunga UBIMIDO
Umoja wa wafanyabiashara waendao mnadani umekuwa na umuhimu mkubwa hususani katika suala la kuwasaidia wafanyabiashara katika kusaidiana kwenye masuala mbalimbali. Na Thadei Tesha Wafanyabiashara jijini Dodoma wametakiwa kujiunga katika umoja wa wafanyabiashara UBIMIDO ili waweze kupata fursa za kujikwamua kiuchumi…
2 June 2023, 1:44 pm
Mnada wa kisasa nyama choma kukuza uchumi wa wafanyabiashara
Na Bernadetha Mwakilabi. Halmashauri ya wilaya ya Kongwa inatarajia kuanzisha mnada mpya wa kisasa wa nyama choma katika eneo la Mbande utakaosaidia kukuza uchumi wa wafanyabiashara na kuitangaza wilaya hiyo kibiashara. Hayo yamesemwa na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya…
30 May 2023, 5:33 pm
Wafanyabiashara wa soko la Mavunde waomba kuboreshewa miundombinu
Hili ni soko la Mavunde ambalo lipo katika kata ya Chang’ombe jijini Dodoma ambapo miongoni mwa bidhaa zinazopatikana sokoni hapo ni pamoja na mbogamboga na matunda. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Mavunde lililopo Chang’ombe jijini Dodoma…
30 May 2023, 4:29 pm
Wananchi waomba maboresho soko la kimataifa Kibaigwa
Soko la kimataifa la Kibaigwa ni utambulisho wa wilaya ya Kongwa kimataifa hivyo lazima litunzwe kama chanzo cha mapato. Na Bernadetha Mwakilabi. Wafanyabiashara wadogowadogo katika soko la mazao la kimataifa la Kibaigwa wilayani Kongwa wameiomba serikali kufanya maboresho ya kisasa…
24 May 2023, 7:49 pm
Dodoma: Wafanyabiashara kituo cha Mnada Mpya waomba kuboreshewa mazingira
Pamoja na sababu hizo wafayabiahara hao wanasema kuwa ni vyema serikali kuendelea kuboresha mazingira ikiwa ni pamoja na kuruhusu mabasi kuingia ndani ya kituo hicho ili waweze kupata wateja. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara katika kituo cha mabasi cha…
24 May 2023, 7:17 pm
Wanawake, vijana watakiwa kubadili mitazamo na kushiriki katika sekta ya kilimo
Jukumu kubwa la taasisi ya uboreshaji wa mifumo na masoko ya kilimo AMDT ni kuwezesha na kuboresha mabadiliko makubwa ya kimkakati kwenye mifumo ya masoko ya sekta za kilimo. Na Mindi Joseph. Vijana na wanawake wametakiwa kubadili mitazamo na kushirikiana…
23 May 2023, 6:30 pm
Wakazi wa Chaduru waomba serikali ikamilishe soko la Tambukareli
Miundombinu ya soko hilo inaelezwa kuwa mibovu na kusababisha wafanyabiashara kushindwa kufanya biashara ndani ya eneo hili. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi wa kata ya Chaduru jijini Dodoma wameiomba serikali kukamilisha kwa haraka miundombinu ya soko la Tambukareli ili…
17 May 2023, 4:19 pm
Kushuka kwa bei ya mafuta ya kupikia kwaleta neema kwa wananchi
Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao wanasema kuwa kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kumechangiwa pia na msimu wa mavuno hususani zao la alizeti. Na Thadei Tesha. Kushuka kwa bei ya mafuta ya kupikia kumetajwa kuleta unafuu kwa wananchi pamoja na…