Dodoma FM
Dodoma FM
16 January 2024, 18:39
Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu Kassim Majaliwa rasmi amekizindua na kukipandisha Hadhi chuo kikuu kishiriki Cha Cathoric University Collage of Mbeya (CUCoM) na kuwa chuo kikuu kamili Cha kikatoliki Mbeya (CUoM) Leo January 16 2024. Awali akifungua chuo hicho kwa…
16 January 2024, 4:48 pm
Mkuu wa mkoa wa mwanza Mh, Amos Mkala baada ya kutamatisha ziara yake katika Halmshauri ya Sengerema, ameendelea na ziara yake katika Halmshauri ya Buchosa wilayani Sengerema kwa ajili ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta ya…
16 January 2024, 12:00
Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: Kasim Majaliwa tayari amewasili katika Uwanja wa Kimataifa Songwe ulioko Mkoani Mbeya kwaajiri ya Kushiriki Hafla ya Ufunguzi wa Chuo Kikuu Cha Kikatoloki Mbeya(CUoM). Waziri Mkuu amepokelewa na…
16 January 2024, 10:19
Na mwandishi wetu Isaka sekondari, shule mpya katika kata ya Nkunga ambayo imesajiliwa kwa namba S. 6491 na tayari imeanza kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza. Kuanzishwa kwa shule hii kumesaidia kuondoa msongamano wa wanafunzi darasani katika shule ya sekondari…
16 January 2024, 10:11 am
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu akizungumza na wanafunzi .Picha na Deus Daudi Taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii haina ukweli wowote na wanafunzi waendelee kufika shuleni . Na Deus Daudi-Katavi Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amekanusha…
13 January 2024, 5:16 pm
ikiwa dunia ikikabiliwa na mabadiliko ya tabianchi jamii imetakiwa kuwa msitari wa mbele kuhakikisha miti inapandwa kwa wingi ili mvua imeze kupatikana na uzalishaji wa mazao uongezeke. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mmwamakula Ikiwa serikali ya mapindunduzi ya Zanzibar inadhimisha miaka 60…
12 January 2024, 11:19 pm
Wanafunzi wapatao 105 kati ya 226 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari Terrat wilaya ya Simanjiro ndio pekee walioripoti shuleni hadi sasa. Na Baraka David Ole Maika. Akizungumza na Orkonerei FM Redio Mkuu wa shule ya sekondari…
11 January 2024, 18:33
Na mwandishi wetu, Mbeya Leo Alhamiss Januari 11 2024 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde:Juma Homera ameipokea Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Ikiongozwa na M/kit wa Kamati hiyo Denis Lazaro Yondo Mbunge wa…
11 January 2024, 1:15 pm
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuweka swala la elimu kuwa kipaumbele na kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira mazuri na kuhakikisha wazazi wanawapeleka watoto shule. Na Nyangusi Olesang’ida Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wazazi na…
11 January 2024, 12:11
Na mwandishi wetu, Songwe Wakuu wa Divisheni ya Elimu Awali, Msingi na Sekondari wamefanya ziara ya kufuatilia hali ya uripoti wa wanafunzi wanaoanza elimu ya awali, darasa la kwanza na wanaojiunga na kidato cha kwanza katika baadhi ya shule zilizopo…