sekondary
5 October 2022, 2:23 pm
Wilaya ya Kongwa yatarajia kuanza ujenzi wa vyumba 70 vya madarasa
Na; Alfred Bulahya. Halmashauri ya wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, imepokea kiasi cha fedha shilingi bilion moja na milioni mia nne kwa lengo la ujenzi wa vyumba vipya 70 vya madarasa kwa ajili ya wanafunzi watakaofaulu mtihani wa darasa la…
16 September 2022, 1:01 pm
Serikali yasisitiza umuhimu wa lishe bora shuleni
Na; Alfred Bulahya. Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza Jijini…
1 September 2022, 9:30 am
Umbali wa shule wapelekea baadhi ya wanafunzi Pandambili kuacha shule
Na; Victor Chigwada. Umbali mrefu wanaotembea wanafunzi wa sekondari lenjulu mpaka pandambili umetajwa kuwa kikwazo cha kuwakatisha tamaa na kushindwa kumaliza masomo. Hilo limefahamika baada ya Taswira ya Habari kuzungumza na baadhi ya Wananchi ambapo Wamesema kuwa adha hiyo ya…
28 June 2022, 8:43 am
Chigongwe walalamikia ukosefu wa nyumba za walimu
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chigongwe jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa nyumba za walimu pamoja idadi ndogo ya walimu katika shule ya msingi Ngh’ambala. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa changamoto ni idadi…
21 June 2022, 2:45 pm
Chimagai waanzisha shule shikizi ili kunusuru elimu ya watoto wao
Na; Victor Chigwada. Umbali wa shule mama katika kata ya kimagai umewalazimu wananchi kuunganisha nguvu na kuanzisha shule shikizi kwaajili ya watoto wasioweza kutembea umbali mrefu Hayo yamethibitishwa na Diwani wa Kata ya Kimagai Bw.Noha Lemto amesema changamoto hiyo ya…
30 May 2022, 4:34 pm
Ujenzi wa vyumba vya madarasa waendelea Bahi
Na;Mindi Joseph. Ujenzi wa madarasa katika shule za sekondari na Msingi kata ya bahi unaendelea ili kuhakikisha wanatatua changamoto ya Madarasa kwa wanafunzi. Akizungumza na Taswira ya habari Diwani wa kata hiyo Bw,Agustino Ndonuu amesema wananchi wameunganisha nguvu kwenye jitihada…
19 May 2022, 3:20 pm
Wananchi wa kata ya Ihumwa waanza mchakato wa ujenzi wa vyumba vya madarasa
Na; Victor Chigwada. wananchi wa Kata ya Ihumwa wilaya ya Dodoma mjini wameanza kuchukua jitihada za kuanzisha ujenzi wa vyumba vya madarasa kutokana na wingi wa wanafunzi katika shule ya msingi Ihumwa A . Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na…
11 May 2022, 2:45 pm
Belege waishukuru serikali kuboresha sekta ya Elimu
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Belege Wilayani Mpwapwa wameishukuru Serikali ya awamu ya tano pamoja na awamu ya sita kwa jitihada za kuboresha sekta ya elimu Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo kwa niaba ya…
10 May 2022, 3:44 pm
Ujenzi wa madarasa kata ya Suruke wakamilika
Na;Mindi Joseph. Ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya Msingi Mluwa na sekondari Mto Bubu Kata ya Suruke Wilayani Kondoa yamekamilika baada ya kupata mgao wa shilingi milioni 182 za ujenzi wa madarasa hayo katika kuendelea kuboresha miundombini ya elimu.…
5 May 2022, 7:40 am
Elimu ya mipaka itolewe kwa viongozi wa mitaa
Na;Yussuph Hassan. Elimu ya mipaka ya ardhi katika kipindi cha Sensa ya watu na makazi imetajwa kuwa muhimu katika kuhakikisha kila eneo linafahamu kwa kina mipaka yake. Akizungumza na kituo hiki Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nzije Jijini hapa…