Dodoma FM
Dodoma FM
25 January 2024, 15:53
Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Muhamed Kawaida amewapongeza wananchi wa kata ya Biharu Wilaya ya Buhigwe kuanzisha ujenzi wa sekondari kutokana na changamoto kadhaa za kiusalama na umbali kwa wanafunzi waliokuwa wakilazimika kufuata huduma…
25 January 2024, 11:22
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Rehema Sombi, amewataka vijana wa kitanzania kutumia amani iliyopo kusoma kwa juhudi na maarifa ili kuhakikisha nchi inapiga hatua zaidi kimaendeleo kwa kuwa na watu wenye uwezo wa kukabili changamoto…
23 January 2024, 8:44 pm
Hata hivyo changamoto hiyo imekuwa ni kubwa kwa baadhi ya wazazi kuwataka watoto wao kutofanya vizuri katika mitihani yao mwisho. Na Victor ChigwadaJamii imetakiwa kuachana na dhana potofu ya kuwakatisha watoto wao masomo kwa kuwawekea shinikio la kujifelisha mitahani yao…
23 January 2024, 17:14
Na Hobokela Lwinga Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kushirikiana na wazazi imeendelea na Mpango wake kuhakikisha kila Mwanafunzi anapata chakula cha mchana kwa siku zote za masomo. Uongozi wa shule ya Msingi Masebe na Mpuguso zilizopo Ushirika (Kata ya…
22 January 2024, 19:30
Na Ezra Mwilwa Taasisi ya Tulia Trust inayoingonzwa na Dkt.Tulia Akson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Jiji, Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani ambaya pia Rais wa Mabunge yote Duniani ametoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi…
22 January 2024, 6:40 pm
Shule ya msingi Mayuya ipo katika kata ya Tabaruka iliyopo Halmashauri ya Sengerema imekuwa ikifanya vibaya kwenye mitihani yake kutokana na changamoto ya Walimu wa shule hiyo kujikita katika shughuli zao binafsi za kuchoma mikaa na kilimo badala ya kufunsha.…
22 January 2024, 12:30
Baadhi ya waalimu wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameulalamikia uongozi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kuwakata michango mingi hali inayopelekea baadhi ya waaalimu kijiondoa katika chama hicho. Akizungumza katika kikao cha wadau Elimu Mkuu wa shule ya sekondari Ruchugi…
20 January 2024, 1:52 pm
Picha na Mtandao Wanafunzi hao hawakuweza kufanya mtihani wao wa darasa la nne kwa sababu za utoro ziliopelekea kushindwa kufika katika chumba cha kufanyia mtihani. Na Asha Bakari-Katavi Zaidi ya wanafunzi mia nne [400] wa Shule ya Msingi Nyerere wameshindwa…
20 January 2024, 1:46 pm
Waliohudhuria shuleni ni wengi lakini si wote kwani waliofaulu wote wanatakiwa kuripoti shule. Na Mwandishi wetu. Ni wiki ya pili sasa tangu wanafunzi wa kidato cha kwanza kutakiwa kuripoti shuleni nchi nzima kwa shule ya sekondari Terrati wilaya ya Simanjiro…