Dodoma FM

DOYODO

18 October 2023, 9:14 am

Wasichana wapaswa kutambua hedhi ni fahari

Elimu ya hedhi salama shuleni hapo imeambatana na zoezi la kugawa taulo za kike kwa wasichana hao wa shule ya msingi Nkuhungu. Na Mariam Kasawa. Wasichana balehe  wametakiwa kutambua kuwa hedhi ni fahari ya kila mwanamke hivyo wanapaswa kuifurahia na…

11 October 2023, 9:04 am

BMH kuanzisha upasuaji wa moyo kwa watu wazima

Katika kuadhimisha Miaka 8 ya Mafanikio Hospitali ya Benjamin Mkapa zaidi ya wananchi 100 wamepatiwa huduma ya Nyonga na kupunguza gharama na usumbufu. Na Mindi Joseph. Katika kuadhimisha miaka 8 Hospitali ya Benjamin Mkapa inatarajia kuanzisha huduma za upasuaji wa…

27 September 2023, 4:57 pm

Akinamama watakiwa kuzingatia muda wa kunyonyesha watoto

Wataalamu wa Afya hushauri mtoto kunyonyeshwa maziwa ya mama kwa muda stahiki hasa kwa miezi sita ili kuijenga afya ya mtoto pamoja na kumpatia baadhi ya vyakula kwa ajili ya afya bora kwa mtoto. Na Naima Chokela.           Ni muhimu…

21 September 2023, 4:38 pm

Wajawazito watakiwa kufanya maandalizi mapema

Wataalamu wa Afya wanashauri kuwa mama mjamzito anatakiwa kuwa na maandalizi kabla ya kujifungua kwani kuna umuhimu wa kufanya hivyo ili kuepukana na madhara mbalimbali yanayoweza kutokea. Na Naima Chokela.          Ushauri Umetolewa kwa Wajawazito  kuhakikisha wanafanya maandalizi kabla ya kujifungua…

21 September 2023, 2:37 pm

WAVIU watakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya ARV

Kwa mujibu wa wataalam wa afya wanashauri kwamba ni vema wananchi kuhakikisha wanapima afya hususani maambukizi ya virusi vya ukimwi ili waweze kujitambua na kutumia dawa kwa usahihi. Na Katende Kandolo. Watu walioathirika na maambukizi ya virusi vya UKIMWI wametakiwa…

20 September 2023, 2:55 pm

Wajawazito waonywa kuepuka matumizi ya Pombe

Ili kupunguza vitendo vya matumizi ya pombe na dawa za kulevya katika jamii hususani kwa wajawazito wataalamu wa afya  wanaendelea kuhamasisha jamii kuachana na suala hilo kwani lina athari kubwa kiafya. Na Katende Kandolo. Akina mama wajawazito wametakwa kuachana na…

19 September 2023, 5:01 pm

Mapinduzi A waomba nyumba ya daktari wa zahati yao

Hata hivyo Serikali inawataka wawekezaji wote nchini kushiriki kikamilifu  katika kutatua  changamoto zinazo  wakabili wananchi walio karibu na mradi wa mwekezaji huyo. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa mpinduzi A wameiomba Serikali na wadau wa afya kuwasaidia kupatikana wa…

15 September 2023, 6:39 am

Jamii yatakiwa kuwa na desturi ya kufanya mazoezi

Ikumbukwe kuwa Idara ya Kinga, Wizara ya Afya imeanzisha Mpango kwa watumishi kufanya mazoezi mara mbili kwa wiki siku ya Jumatano na Ijumaa jioni mara baada ya saa za kazi kuanzia saa 9:30 hadi saa 11:00 jioni. Na Mindi joseph.…

13 September 2023, 3:27 pm

Ugumu wa maisha  watajwa  kuwa sababu ya watu kujiua

Septemba 10 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuzuia kujiua ambapo Kitaifa maadhimisho hayo yalifanyika katika Hospitlai ya Taifa ya akili Mirembe jijini Dodoma. Na Katende Kandolo. Imeelezwa kuwa ugumu wa maisha pamoja na msongo wa mawazo ni miongoni mwa…