Dodoma FM

DOYODO

12 October 2022, 11:30 am

CVT kutoa vipimo bure siku ya uono Duniani

Na; Alfred Bulahya Kuelekea siku ya Uono Duniani octoba 13, Clinic ya Macho ya CVT iliyopo Jijini Dodoma imepanga kutoa huduma za upimaji wa macho bure katika siku hiyo na kutoa huduma ya upasuaji na miwani kwa gharama nafuu ili…

5 September 2022, 1:30 pm

Kamati ya bunge yaridhishwa na mradi wa Timiza malengo

Na; Benard Filbert. Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Masuala ya  UKIMWI, Kifua Kikuu , Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Timiza Malengo unaotekelezwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) unaolenga kuwawezesha vijana…

10 May 2022, 2:02 pm

Vyuo vya Afya 20 kuchukuliwa hatua kwa kufanya udanganyifu

Na:Mindi Joseph. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi ameagiza NACTVATE kuvi chukuliwa hatua Vyuo 20 vya afya vilivyokaguliwa na kufanya udanganyifu ili kulinda viwango vya taaluma ya afya Nchini. Akizungumza…

26 March 2021, 8:13 am

Uwajibikaji wa Vijana ni matunda ya kumuenzi Rais Magufuli

Na; Selemani Kodima Vijana Nchini wametakiwa kuendelea kuwajibika na kuonesha Uzalendo katika Majukumu yao ili kuenzi uzalendo ambao uliooneshwa na Hayati Rais Magufuli wakati wa Utawala wake. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi   Mtendaji wa  Taasisi ya maendeleo ya Vijana Dodoma DOYODO…