Dodoma FM

DOYODO

22 March 2023, 3:46 pm

Serikali yadhamiria kudhibiti na kutokomeza kifua kikuu

Immelezwa kuwa watu wenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa kifua kikuu(TB)  ni pamoja na wale wanaoishi katika makazi duni, Watoto, Wavuvi na  wanafunzi wanaoishi bweni. Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kutokomeza ugonjwa…

21 March 2023, 5:39 pm

Dkt. Mollel azungumza na wataalamu wa Afya.

Na Pius Jayunga. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wataalamu wa Afya kutomchukia pindi anapofanya maamuzi ya kumtoa Mganga Mkuu wa Wilaya kwani hufanya hivyo kwa nia njema ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Dkt. Mollel ametoa…

13 March 2023, 5:49 pm

Uhaba wa wachangia Figo waendelea kuwa kikwazo

Mpaka sasa Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza Figo  wagonjwa 33 kati ya hao wagonjwa 22 walipandikizwa Figo na wataalamu wazawa. Na Mindi Joseph. Ukosefu wa wachangiaji  Figo  umetajwa kuendelea kuwa kikwazo kwani Wananchi wengi hawapo tayari kujitolea kuchangia Ndugu…

1 March 2023, 4:27 pm

Shule ya msingi Chihoni yapokea msaada wa vyandarua

Halmshauri ya jiji la Dodoma inaendelea na zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule za Msingi na awali ambapo jumla ya wanafunzi wapatao 122,000  kutoka shule 158 wanatarajiwa kupatiwa vyandarua. Na Fred Cheti. Wanafunzi wa Shule ya Msingi…

28 February 2023, 6:18 pm

Serikali yasaini mkopo nafuu kuboresha huduma za Afya

Huduma zitakazo boreshwa ni pamoja na kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuboresha huduma za dharura, kuboresha rasilimali watu katika Sekta ya afya, kuboresha utendaji na ufanisi kwenye ngazi ya zahanati. Na Pius Jayunga. Serikali ya Tanzania na Banki kuu…

24 February 2023, 4:20 pm

Ukosefu wa Dawa katika Zahanati ya kijiji cha Champumba

Licha ya kupata huduma katika zahanati ya kijiji cha Champumba wilayani Chamwino lakini bado kasi ya upatikanaji dawa imekuwa ni ndogo. Na Victor Chigwada. Ukosefu wa Dawa katika Zahanati ya kijiji cha Champumba wilayani Chamwino imetajwa kuwa sababu ya wananchi…

20 February 2023, 12:29 pm

DC. Gondwe na kampeni ya kuku Robo matibabu mwaka mzima

Kwa sasa hospitali  hiyo inatoa  huduma zote muhimu zikiwemo huduma za wagonjwa wa nje, huduma za maabara, huduma ya Mionzi, upasuaji kwa wajawazito na  upasuaji wa kawaida, huduma za watoto njiti ambazo hapo awali wananchi walilazimika kuzifuata Dodoma mjini, Na…