Dodoma FM

DOYODO

7 February 2023, 9:52 am

Hospitali ya Benjamini Mkapa imesaini makubaliano

Hospitali ya Benjamin Mkapa imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la children’s heart charity association la Nchini kuwait. Na Mindi Joseph. Hii ni kufuatia matatizo ya moyo kwa…

3 February 2023, 4:36 pm

Tunashindwa kuelewa juu ya mfumo wa Bima ulivyo

Imeelezwa kuwa licha ya mikakati mbalimbali ya uboreshwaji wa huduma za afya bado wananchi wameendelea kulalamika huduma ya bima ya CHF iliyoboreshwa. Na Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Mlowa Barabarani wamesema kuwa wanashindwa kuelewa mfumo wa bima ulivyo ,kutokana…

wananchi wa Igunguli

30 January 2023, 9:28 am

Igunguli waomba msaada ujenzi wa Zahanati

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Igunguli Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaunga mkono  na kuwasaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati Wakizungumza na taswira ya habari wamesema  kukosekana kwa huduma ya afya kijiji hapo inasababisha wananchi kwenda…

28 January 2023, 9:46 am

Umuhimu Wa Elimu Ya Chanjo Ya Uviko 19

Na; Mariamu Matundu.Imeelezwa kuwa bado chanjo ya uviko 19 inaendelea kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya kote nchini na hivyo wananchi wametakiwa kwenda kupata elimu ya umuhimu wa chanjo hiyo na kuchukua maamuzi ya kuchanja.Mariam matundu amefanya mazungumzo…

23 January 2023, 1:22 pm

KONA YA AFYA

Na; Yusuph Hassan. katika kona ya Afya leo tumeangazia juu ya matibabu ya U.T.I.

23 January 2023, 11:47 am

Mvumi Misheni walia na gharama za matibabu

Na; Victor Chigwada.                                    Licha ya huduma zinazotolewa katika hospitali ya Mvumi Misheni bado wananchi wametaja gharama za matibabu katika hospitali hiyo kuwa changamoto. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa kijiji cha Mvumi Bw.Alpha Zoya wakati akizungumza na Taswira ya Habari…

13 January 2023, 3:56 pm

Waganga wa tiba asili waomba mafunzo kutoka wizara ya Afya

Na; Mariam Matundu. Waganga wa tiba asili nchini wameiomba wizara ya afya kuwezesha waganga kote nchini kupata mafunzo ya namna bora ya kufanya kazi zao yatakayosaidia kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa . Akizungumza mwenyekiti wa umoja wa waganga wa tiba…

12 January 2023, 2:22 pm

Jamii na dhana ya kubemenda mtoto

Na; Mariam kasawa Dhana ya kubemenda mtoto ni dhana ambayo imekuwa ikiaminiwa na jamii nyingi za Afrika hususani Nchini Tanzaniaa. Makabila tofauti yamekuwa na utaratibu wao pindi mama anapo jifungua na wakati wa kulea mtoto baba na mama hufundishwa na…