Dodoma FM

DOYODO

13 September 2023, 2:47 pm

Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya

Wataalamu wa Afya wanashauri jamii kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara ili kubaini hali zao na namna ya kukabiliana na magonjwa yanayoweza kujitokeza kwa haraka zaidi . Na Richald Ezekiel. Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya mara kwa…

12 September 2023, 12:26 pm

Serikali yaendelea kuchukua tahadhari kudhibiti Polio Nchini

Aidha wakuu wa Mikoa, Wilaya pamoja na Viongozi mbalimbali wametakiwa kusimamia Kampeni ya Kitaifa ya chanjo ya matone pamoja na Waganga wa Mikoa kutoa chanjo hiyo kwa wakati sambamba na kutoa elimu kwa jamii. Na Yussuph Hassan. Serikali imeendelea kuchukuwa…

6 September 2023, 1:47 pm

Wajawazito wahimizwa kutumia dawa kinga

Kwa mujibu wa wataalam wa afya, wanasisitiza suala la akina mama kupata dawa kinga kwani zimekuwa na umuhimu kwa afya ya mama na mtoto. Na Naima Chokela.                     Imeelezwa kuwa upo umuhimu kwa mama mjamzito kupatiwa dawa kinga katika kipindi cha…

6 September 2023, 12:09 pm

Wajawazito watakiwa kuzingatia chanjo ya pepopunda

Kwa mujibu wa wataalamu wa Afya wanasema kuwa iwapo mama mjamzito atazikosa chanjo hizo itachangia kupata madhara makubwa na kumuathiri mtoto aliyepo tumboni huku wakishauri kufika mapema katika vituo vya Afya pale tu Mtu atakapohisi dalili za ujauzito. Na Richald…

5 September 2023, 1:57 pm

Wanaume wahimizwa kuhudhuria kliniki na wake zao

Miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha mwitikio mdogo kwa wanaume kuwasindikiza wenza wao kliniki ni pamoja na kukabiliwa na majukumu ya kila siku jambo ambalo linaweza kutatulika iwapo kila mmoja atatambua umuhimu wa kuhudhuria kliniki na mwenza wake. Na Richard Ezekiel.…

30 August 2023, 4:58 pm

Jamii yatakiwa kujenga mazoea ya kutumia maziwa

Daktari Malaki amesema kuwa maziwa hayasaidii kusafisha mfumo wa hewa  kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakiamini. Na Aisha Alim. Jamii imeshauriwa kujenga mazoea ya kunywa maziwa mara kwa mara ili kuimarisha afya zao kutokana na maziwa hayo kuwa na…

28 August 2023, 12:57 pm

Jamii yashauriwa kuzingatia Zaidi matumizi ya Asali

Asali inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee, kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa na vifaa tiba, jarida la World News limeandika kuwa…

28 August 2023, 11:58 am

Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kunde kiafya

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Kilimo na Chakula Duniani FAO, imesema zao la Kunde na vyakula vyote vya jamii ya kunde ni nafuu na vitamu huku vikiwa na kiwango kikubwa cha protini na hivyo huweza kutumiwa badala ya…