Chai FM

Uncategorized

21 March 2024, 6:15 pm

Transfoma yahatarisha usalama wa wafanyabiashara Rungwe

Ili kuhakikisha shughuli za kibinadamu kufanyika, binadamu anatakiwa kuweka mazingira ya kazi yake salama. Na lennox Mwamakula Wafanyabiashara wa ndizi kwenye soko la Mabonde lililopo kata ya Msasani wilayani Rungwe wameiomba serikali kuwaboreshea soko hilo. Baadhi ya wafanyabiashara wakiendelea na…

21 March 2024, 12:13 pm

Vijana jitokezeni kupima mambukizi ya ukimwi Rungwe

Mratibu wa ukimwi Rungwe Bw,George Mashimbi[picha na Yona kibona] Katika kuhakikisha jamii inakuwa salama, vijana wameshauriwa kuwa msitari wa mbele kujua afya kwani ndilo kundi linalotegemewa katika ujenzi wa taifa. RUNGWE-MBEYA Na lennox mwamakula Imeelezwa kuwa jumla ya wakazi 12,158…

14 March 2024, 8:08 am

Chakula shuleni chachu ya ufaulu Rungwe

Katibu tawala wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa akizungumza na wajumbe kwenye kikao cha Tathimini juu ya lishe [picha na Lennox mwamakula] Imeelezwa kuwa asilimia 93.7 ya wanafunzi wanaofanya vizuri katika masomo yao ni wale wanaokula chakula cha…

11 March 2024, 2:07 pm

Diwani avunja kamati ya shule

Baada ya wazazi na walezi kuonesha kutokuwa na imani na kamati ya shule imemlazimu diwani kuingilia kati suala hilo. Na Cleef Mlelwa – Wanging’ombe Diwani wa kata ya Kijombe Seylvester Kigola ameagiza kuvunjwa kwa kamati ya shule ya msingi Ikwavila…

8 March 2024, 4:17 pm

Wanawake wahimizwa kushiriki ngazi za uongozi

Ili kuhakikisha uchumi wa familia unaimarika, wanawake wametakiwa kutambua nafasi zao kwenye jamii. Serikal imetakiwa kuhakikisha inaendelea kuwakwamua wanawake kiuchumi na kijamii ili kuweza kufikia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa…

8 March 2024, 11:24 am

Zaidi ya milioni 3 kukarabati shule Rungwe

Shule ya msingi Katumba one ni shule iliyojengwa miaka 50 iliyopita na kutumika bila kufanyiwa ukarabati wowote, hatimaye sasa inakwenda kukarabatiwa kwa ufadhili wa mbunge. Na Bahati Obel Mbunge wa jimbo la Rungwe Anton Mwantona amekabidhi msaada wa bati 108…

8 March 2024, 8:28 am

Elimu ya malezi mwarobaini wa vitendo vya ukatili Makambako

Ili kukabiliana na vitendo vya ukatili katika jamii imeelezwa kwamba elimu ya malezi na makuzi kwa wazazi, walezi na watoto ni muhimu ikaendelea kutolewa Na Cleef Mlelwa – Makambako Wazazi na walezi katika halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kuhakikisha…

7 March 2024, 2:43 pm

Ushirikishwaji wa Wananchi wazaa matunda Rungwe

Na Mwandishi wetu Elimu ya utambuzi inayotolewa na serikali kwa wananchi imeendelea kuboresha miundombinu mbalimbali kama vile ya elimu. Wakazi wa kata ya Isongole wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamejenga bweni la wavulana katika shule ya sekondari Isongole ikiwa ni hatua…

28 February 2024, 6:46 pm

Jumla ya watoto 61125 kupata chanjo Rungwe

Ili kuhakikisha mtoto analindwa na magonjwa yasiyopewa kipaombele, jamii inatakiwa kuwa mstari wa mbele kujitokeza kuwapatia chanjo. Na lennox Mwamakula Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu ameiomba jamii kutoa ushirikiano kwa  walimu wanaowahudumia  watoto wenye mahitaji maalum ili watoto…