Radio Tadio

Uvuvi

9 Januari 2024, 18:06

Shughuri za uvuvi zasitishwa ziwa Tanganyika

Waziri  wa  Mifugo  na Uvuvi  Mh. Abdalah Ulega ametangaza rasmi kusitishwa kwa shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Tanganyika  ili kulinda mazalia ya Samaki ambayo yanazidi kupotea huku akiwatoa hofu wavuvi kuhusu shughuli gani watakazofanya pale utekelezaji huu utakapoanza. Na,…

02/01/2024, 08:41

Wafanyabiashara wa samaki walia na ushuru njiani, Geita

Kilio kimeendelea kwa wafanyabiashara wa samaki kutozwa tozo kubwa wanawapokuwa njiani wakati wanataka kuzifikisha samaki hizo sokoni na kuamua kutoa ya moyoni. Na Zubeda Handrish- Geita Wafanyabiashara wa samaki katika soko la jioni (Joshoni) Nyankumbu mjini Geita, wamezungumzia changamoto ya…

8 Septemba 2023, 9:40 mu

Uchumi wa buluu kuwainua vijana Pemba

Vijana wanatakiwa wasisubiri ajira serikalini bali wajishugulishe kwenye shuguli mbali mbali zikiwemo fursa za uchumi buluu kwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiariamali ili waweze kujiengezea kipato Vijana wameonywa  kuepuka kukaa katika vigenge viovu ,na badala yake wajiunge  na vikundi  vya…

24 Agosti 2023, 15:37

Vyombo visivyokidhi vigezo kuondolewa ziwa Tanganyika

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoa wa Kigoma, Limezindua kampeni ya Operasheni Maboya katika ziwa Tanganyika, ili kubaini Boti zisizo na Vifaa vya Kusafiria Kwa Wavuvi na Abiria ili kuwachukulia hatua za kisheria. Na, Kadislaus Ezekiel Afisa mfawidhi…

13 Julai 2023, 09:49

Mwenge wa uhuru wateketeza zana haramu za uvuvi Bunda

Mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2023 katika halmashauri ya wilaya Bunda imetembelewa miradi 7 ambapo miongoni mwa shughuli zilizofanyika ni uteketezaji wa zana haramu za uvuvi ikiwa ni jitihada za kulinda na kutunza mazingira. Na Thomas Masalu Kiongozi…