
Uvuvi

20 November 2023, 13:55
Uchumi wa wavuvi Kigoma kuchochewa na vifaa vya kisasa walivyokabidhiwa
Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma wanatarajia kujikwamua kiuchumi baada ya serikali kuwawezesha zana za kisasa za uvuvi ikiwemo boti 9 na vifaa vyake zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 500. Na,…

8 September 2023, 9:40 am
Uchumi wa buluu kuwainua vijana Pemba
Vijana wanatakiwa wasisubiri ajira serikalini bali wajishugulishe kwenye shuguli mbali mbali zikiwemo fursa za uchumi buluu kwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiariamali ili waweze kujiengezea kipato Vijana wameonywa kuepuka kukaa katika vigenge viovu ,na badala yake wajiunge na vikundi vya…

24 August 2023, 15:37
Vyombo visivyokidhi vigezo kuondolewa ziwa Tanganyika
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoa wa Kigoma, Limezindua kampeni ya Operasheni Maboya katika ziwa Tanganyika, ili kubaini Boti zisizo na Vifaa vya Kusafiria Kwa Wavuvi na Abiria ili kuwachukulia hatua za kisheria. Na, Kadislaus Ezekiel Afisa mfawidhi…

13 July 2023, 9:49 am
Mwenge wa uhuru wateketeza zana haramu za uvuvi Bunda
Mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2023 katika halmashauri ya wilaya Bunda imetembelewa miradi 7 ambapo miongoni mwa shughuli zilizofanyika ni uteketezaji wa zana haramu za uvuvi ikiwa ni jitihada za kulinda na kutunza mazingira. Na Thomas Masalu Kiongozi…

10 April 2023, 5:25 pm
Wavuvi Kutaka Mali kwa Haraka Chanzo cha Uvuvi Haramu “CP Awadhi”
MPANDA Kamishna wa oparesheni na mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania, CP Awadhi Juma Haji amesema moja ya changamoto zinazokwamisha mapambano dhidi ya uvuvi haramu na uhalifu kwenye maziwa ni kutokana baadhi ya wavuvi kugeukana na kutaka mali za haraka…

19 February 2023, 9:07 pm
Ashikwa na mamba akiwa kwenye mtumbwi wakati akiendelea na shughuli za uvuvi.
Mayela Maleba (37) Mkazi wa Tamau kata ya Nyatwali Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara amekamatwa na mamba wakati akiendelea na shughuli za uvuvi wa samaki kandokando ya ziwa Victoria eneo la Tamau. Mwanamme huyo ambaye mpaka sasa bado…

27 April 2021, 8:53 am
Akina mama wajawazito washauriwa kutumia unga ulioongezwa virutubishi
Na;Jayunga Pius Wanawake walio katika umri wa kujifungua wameshauriwa kutumia chakula aina ya ugali unatokana na unga ambao umeongezwa virutubishi ili kuepuka kujifungua watoto walio na matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwemo kichwa kikubwa na mgongo wazi. Ushauri huo umetolewa na…