Radio Tadio

Utamaduni

18 Juni 2025, 2:43 um

Bifu la Mpina na Bashe, Rais Samia apigilia msumari

Maombi hayo kuyaleta mbele ya Rais ni kujitafutia umaarufu na kudhibitisha mbunge hakulifanyia haki jimbo lake ” Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Meatu-Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia suluhu Hassani ameonyesha kukerwa na…

13 Juni 2025, 17:03

Serikali kuboresha sera na sheria kwa wenye ualbino

Serikali kuendelea kuboresha sera na sheria kuhusu watu wenye ualbino nchini. Na Kadislaus Ezekiel Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mahususi kuboresha mifumo ya Kisera na sheria katika kuboresha huduma…

9 Juni 2025, 16:30

Jamii yatakiwa kuwalinda watu wenye ualbino dhidi ya ukatili

Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuwalinda dhidi ya vitendo vya ukatili watu wenye ualbino huku wakitakiwa pia kuondokana na imani potofu za kishirikina kuhusu watu hao. Na Josephine Kiravu June 13 ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya uelewa…

4 Juni 2025, 7:00 um

GGML yasisitiza utunzaji wa mazingira Geita

Utunzaji na usafishaji wa mazingira Manispaa ya Geita umendeelea kupewa nguvu na wadau mbalimbali ili kukabiliana na changamoto ya magonjwa ya milipuko. Na Mwandishi Ester Mabula: Kuelekea katika kilele Cha siku ya Mazingira duniani Mgodi wa GGML kwa kushirikiana na…

31 Mei 2025, 2:49 um

Wachafuzi wa mazingira kukiona cha moto Geita

Serikali wilaya ya Geita imesema haitawafumbia macho wananchi watakaobainika kuwa chanzo cha uchafuzi wa mazingira. Na: Kale Chongela: Kauli hiyo imetolewa leo Mei 31, 2025 na mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba akiwa katika mtaa wa Mwatulole uliopo…

20 Mei 2025, 16:30 um

Wanawake viongozi wafunguka kuhusu nafasi zao katika siasa

Na Mwanaidi Kopakopa, Mwanahamisi Chikambu Wanawake walioko katika nafasi za uongozi wamesema kuwa nafasi wanazopewa kama madiwani au wabunge zinawajengea uwezo na kujiamini kugombea nafasi nyingine za juu za uongozi wa kisiasa. Katika makala haya, wanawake hao wameeleza kwa kina…

12 Mei 2025, 7:57 um

Heche asisitiza No reform No elections akiwa Sengerema

Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kinaendelea na oparesheni yake ya No reform No eleections,ambapo tayari imeshaanza kanda ya victoria yenye mikoa ya Kagera,Geita na Mwanza. Na Emmanuel Twimanye Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) bara John…

5 Mei 2025, 1:55 um

Sita wafikishwa ofisi ya mtaa kwa uchafu Mwatulole

Kampeni ya HYAGULAGA GEITA ikimaanisha SAFISHA/FAGIA GEITA imeendelea kutekelezwa katika maeneo mbalimbali ikiwa sambamba na uhamasishaji wa usafi wa maeneo ya Geita. Na: Kale Chongela – Geita Watu sita wamefikishwa katika ofisi ya polisi jamii katika mtaa wa Mwatulole kata…