Radio Tadio

Utamaduni

29 Mei 2021, 15:29

Halmashauri zaagizwa kupanda miti Milioni moja na laki tano

Na; Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Seleman Jafo ameziagiza Halmshauri zote nchini kupanda miti isiyopungua Milioni moja na laki tano kila mwaka ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Waziri Jafo ametoa maagizo…

26 Mei 2021, 12:45

Maji safi na salama changamoto kata ya mkonze

Na; Mindi Joseph Wakazi wa  mtaa wa Zinje Kata ya Mkonze jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwapelekea maji safi na salama ili kuokoa afya zao kutokana na kutumia maji wanayochimba kwenye korongo ambayo si safi na salama. Taswira ya habari imezungumza…

24 Mei 2021, 13:54

Uharibifu wa mazingira ni chanzo cha mabadiliko ya tabia Nchi

Na;Mindi Joseph . Uharibifu wa mazingira nchini umetajwa kuchangia kuongezeka kwa mabadiliko ya tabia nchi hali ambayo imepelekea   kiwango cha maji kuzidi kuongezeka Nchini Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Selemani Said Jafo…

5 Mei 2021, 11:09

wananchi wahimizwa kutunza miundombinu ya maji na barabara

Na; Thadei Tesha Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza miundombinu ya maji na barabara ili iweze kutumika kwa muda mrefu kama ilivyokusudiwa. Wito huo umetolewa na wenyeviti wa mitaa ya Kiwanja cha Ndege Bw.Ignas Rufyadira na Bi.Zena Chiuja ambaye ni…