Siasa
10 November 2023, 14:14
CCM yawaita wananchi kumpokea Dk.Tulia
mwandishi lameck Charles Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimekamilisha maandalizi ya kumpokea Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini dokta Tulia Acksoni anayetarajia kuwasili kesho ikiwa ni siku chache tangu kiongozi huyo achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge…
7 November 2023, 12:55
Mwenyekiti UVCCM Mbeya awataka vijana kutumia fursa zinazotolewana serikali
Vijana mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuzitumia fursa mbalimbali ambazo zinatangazwa na serikali kwa lengo la kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Na Ezra Mwilwa Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Yassin Ngonyani…
4 November 2023, 17:39
CCM Mbeya wajipanga kumpokea Dk.Tulia
Mwandishi samweli ndoni Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mbeya imempogeza Spika wa Bunge Dk. Tulia Acksoni kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa umoja wa wabunge duniani (IPU).Dk, Tulia ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbeya…
4 November 2023, 17:26
CCM Mbeya yamtambulisha katibu mwenezi mpya
Mwandishi : samweli ndoni Chama Cha Mapiduzi (CCM) mkoa wa Mbeya kimemtambulisha katibu wa siasa na uenezi wa Chama hicho ngazi ya mkoa Christopher Uhagile, akichukua nafasi ya Bashiru Madodi ambaye amepangiwa majukumu mengine ya kichama. Akimtambulisha kwa waandishi wa…
27 October 2023, 10:04 pm
Anatropia Theonest aendelea kutatua changamoto za wananchi
Na Jovinus Ezekiel Jumla ya mifuko 40 ya saruji imetolewa na mbunge wa viti maalum mkoani Kagera Anatropia Theonest kwa lengo la kuwezesha ujenzi wa miradi ya zahanati ya Milambi na shule  shikizi ya msingi Omukiyonza inayotekelezwa katika kata ya…
26 October 2023, 14:17
UVCCM Mbeya yaipongeza serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan
Unapofanya jambo zuri na lenye tija kwa jamii ni lazima upongezwe,hivyo ukiwa binadamu mwenye utu unapopewa nafasi ya kuongoza watu wa jamii yako huna budii kuacha alama nzuri ili kesho yako uweze kupongezwa. Na Ezra Mwilwa Umoja wa vijana wa…
11 October 2023, 11:19
Aboud Ziarani Iringa
Na KEFA SIKA/MUFINDI. Mlezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Ndugu Mohamed Aboud Mohamed amewataka wananchi Wilayani Mufindi kufanya kazi kwa bidii kwani Serikali inaendelea kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi. Mhe. Aboud ameyasema hayo katika ziara ya…
4 October 2023, 1:43 pm
Mbogo atoa fedha kukamilisha ofisi za CCM Mlele
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi kupitia CCMÂ Taska Restituta Mbogo ametoa zaidi ya shilingi milioni tatu kwa ukamilishaji wa ofisi za CCM wilaya ya Mlele na ofisi ya UWT wilayani hapo. Na Ben Gadau – MleleMbunge wa Viti Maalumu…
2 October 2023, 10:11 pm
Katibu mkuu CCM taifa Daniel Chongolo awasili Katavi
KATAVIKatibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM taifa Daniel Chongolo Amewasili Mkoani Katavi kuanza Ziara ya Siku 6 kwa ajili ya kukagua miradi na kuzungumza na wananchi. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na chama cha Mapinduzi mkoani Katavi mara baada…
28 September 2023, 12:49 am
Wanahabari wapewa siri ya kuwawezesha kuhoji
Kupitia matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 mwanahabari unaweza kuhoji ili kuisaidia jamii Na Edward Lucas Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi, Spika msaafu Mhe.Anna Makinda amewaasa waandishi wa habari kuhakikisha kuwa wanasoma taarifa ya…