Radio Tadio

Sheria

28 July 2023, 2:41 pm

Bodi mpya yatakiwa kusimamia kanuni, taratibu

Pia amesema wana jukumu la kuishauri wizara kujua ni namna gani Wakala wa Vipimo iboreshe utendaji kazi wake. Na Seleman Kodima. Waziri wa Viwanda na Bashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji  amewataka wajumbe  wapya wa bodi ya sita ya ushauri ya…

July 26, 2023, 9:20 pm

Elimu ya msaada wa kisheria yawafikia elfu 69 Makete

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la kutoa msaada wa kisheria wilayani Makete Mch. Denis Sinene amesema jumla ya wananchi elfu 69 wamefikiwa na elimu ya msaada wa kisheria wilayani Makete. Mch. Sinene amesema hayo wakati wa kusoma taarifa ya…

12 July 2023, 1:32 pm

Makala: Mwananchi unaelewa nini kuhusu Dhamana?

Sikiliza Makala ya Tafakari Pevu iliyoandaliwa na Storm FM kuhusu Dhamana. Makala hii huruka kila siku ya Jumanne saa moja kamili hadi saa moja na dakika thelathini asubuhi na kurudiwa Jumamosi saa nne asubuhi 88.9 Storm FM Sauti ya Geita.…

7 July 2023, 12:12 pm

Kumzuia mtu kufanya majukumu yake ni kosa kisheria

Kupitia Pekuzi za Mtaa kwa Mtaa (Storm Asubuhi) iliruka taarifa ya mkakanganyiko wa mabadiliko ya uongozi uliotokea kati ya Diwani wa kata ya Tabaruka Sospeter Busumabu na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema Binuru Shekhidele kutaka kubadili uongozi nafasi…

5 July 2023, 11:25 am

Kupokea rushwa ni kosa, toa taarifa

Suala la kutoa na kupokea rushwa kwa viongozi na wafanyakazi wa sekta binafsi na za serikali mkoani Geita bado limeonekana kuwa ni changamoto na kupelekea Kaimu Kamanda Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Geita…

6 June 2023, 9:32 pm

Polisi Iringa yawadaka watuhumiwa ubakaji mwanachuo

Na Frank Leonard Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limewakamata watuhumiwa watano wa unyang’anyi kwa tumia silaha ambao kati yao wawili wametambuliwa kuhusika katika tukio la ubakaji alilofanyiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (jina linahifadhiwa) wakati wakifanya uharifu chuoni…