Nishati
6 July 2023, 6:21 pm
Wananchi wazima jaribio la wizi wa nyaya za umeme
Kundi la watu zaidi ya 20 limefurushwa kwa madai ya kutaka kuiba nyaya za umeme zilizokuwa zimehifadhiwa katika shule ya sekondari. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Kaduda Kata ya Katoro wilayani Geita wamezima jaribio la wizi wa nyaya…
5 July 2023, 5:08 pm
Wachimbaji wadogo washauriwa kutumia mitambo mipya
Moja ya teknlojia ambayo inatajwa kuwa bora na rahisi mabayo wachimbbaji wadogo wa madini wanaweza kuitumia kuchenjulia dhahabu ni CIACIP. Na Fred Cheti. Wachimbaji wadogo wa madini aina ya dhahabu wameshauriwa kutumia mitambo mipya kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu na…
3 July 2023, 5:37 pm
REA yafikisha umeme vijiji vyote 87 Kongwa
Mradi wa kusambaza umeme katika Maeneo ya pembezoni mwa miji awamu ya pili wilayani kongwa umegharimu Bilion Moja Milion miatano themanini na tatu laki nane tisini na tisa elfu mia nne sabini na nane na senti sita 1,583,899,478.06 Na Mindi…
17 May 2023, 7:07 pm
Wananchi waomba elimu sahihi ya matumizi ya gesi
KATAVI Baadhi ya wananchi mkoani Katavi wameomba kupatiwa elimu juu ya matumizi sahihi ya nishati mbadala ya (gas). Wakizungumza na Mpanda Radio FM wamesema watu wengi wamekuwa wakitumia nishati hiyo kwa mazoea bila kuwa na elimu sahihi ya matumizi yake…
15 May 2023, 7:49 pm
Wananchi waendelea kuhimizwa kutumia nishati mbadala
Miongoni mwa madhara hayo ni pamoja na ukame, mafuriko, vimbunga, mioto ya misitu vimeharibu maisha ya mamilioni ya watu na kuwaweka katika hatari zaidi ya kukabiliwa na njaa. Na Alfred Bulahya. Wakati mataifa yote ulimwenguni yakipambana kuzuia ongozeko la joto…
10 May 2023, 7:24 pm
Wakazi wa Nagulo waiomba Serikali kuwapatia huduma ya umeme
Hivi karibu Serikali kupitia wizara ya Nishati wanakusudia kuongeza mafungu katika Mfuko wa Nishati Vijijini ili kuongeza kasi ya kufikisha umeme katika vitongoji 36,336 . Na Victor Chigwada. Inaelezwa kuwa nishati ya umeme ni muhimu kwa maendeleo ya jamii ikiwamo…
1 May 2023, 2:49 pm
Madiwani waomba umeme katika Vitongoji
Mrindoko amesema kutakuwa na SWITCHING STATION eneo la mbande itakayosaidia upatikanaji wa umeme pale inapotokea tatizo eneo Moja lisilete ukosefu wa umeme eneo lingine. Na Bernadetha Mwakilabi. Waheshimiwa madiwani ambao ni wawakikishi wa wananchi wameomba huduma ya umeme kwenye vitongoji…
29 April 2023, 14:52 pm
MAKALA – Ladha ya chakula kilichopikwa kwa nishati ya Gesi
Na Musa Mtepa Kutokana na kukuwa kwa Technolojia Binadamu ameweza kubadilika na kuendana na mazingira husika yanayoendana na mabadailiko hayo ambayo sio tu kwa wakazi wa mijini bali hata katika maeneo ya Vijijini. Zamani ukienda vijijini na kukutana na Mzee…
28 April 2023, 7:33 am
DC Maswa awataka wananchi kupisha mradi wa umeme
Alex F. Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wakazi Wilayani hapo wanaopitiwa na Mradi wa umeme toka Ibadakuli Mkoani Shinyanga hadi Bariadi Simiyu wenye msongo wa Kilovoti 220 kuachia maeneo yao kwaajili ya utekelezaji…
10 April 2023, 11:50 am
Nishati mbadala kuwanufaisha wakazi wa Makang’wa
Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha kutoka Mfuko wa umoja wa wanawake( UWT) wilayani humo unatarajia kunufaisha moja ya kikundi cha wanawake katika kijiji hicho. Na Fred Cheti Baadhi ya wanawake wa kijiji cha Makang’wa wilayani Chamwino wanatarajia kunufaika na mradi…