Radio Tadio

Miundombinu

11 March 2023, 6:05 pm

Watendaji kata wakabidhiwa pikipiki Kilosa

Katika kurahisisha utendaji kazi wa kuyafikia maeneo yote yaliyopo katika kata serikali imewapatia maafisa watendaji kata pikipiki ambazo zitawasaidia kuwafikisha maeneo ambayo walikua hawayafikii kiurahisi kutokana na umbali uliopo. Awali viongozi wa kata walikua wanakabiliwa na changamoto ya usafiri kwa…

10 March 2023, 4:37 pm

Nzuguni waeleza kunufaika na Barabara

Wakazi hao wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara inayoelekea Nzuguni B sambamba na kutoa elimu ya matumizi ya alama za barabarani. Na Thadei Tesha Baadhi ya wananchi wanaojishughulisha na biashara mbalimbali katika eneo la Nzuguni Boda jijini Dodoma wamesema kukamilika…

7 March 2023, 4:11 pm

Ujenzi wa barabara watajwa kuwa kichocheo cha fursa

Sekta ya barabara imekuwa na mchango mkubwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo usafirishaji wa bidhaa. Na Thadei Tesha. Ujenzi wa barabara kuelekea mtaa wa Ntyuka jijini dodoma unatajwa kuwa chanzo cha kuchochea zaidi fursa za kiuchumi. hayo ni kwa mjibu wa…

24 February 2023, 4:19 pm

Wananchi walia na uhaba wa Miundombinu ya Umeme Chiboli

Jografia ya kijiji hicho  cha Champumba imekuwa na changamoto katika kusambaza nguzo za umeme licha ya kupewa ahadi ya kusubiri awamu inayofuata. Na Victor Chigwada. Kukosekana kwa Miundombinu ya Umeme ikiwemo Nguzo za Kutosha katika Kata ya Chiboli Wilaya ya…

21 February 2023, 12:17 pm

Waiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kujengewa daraja

Wakazi wa kata ya Dabalo wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kuwajengea daraja linalounganisha baadhi ya vijijini katika kata hiyo. Na Fred Cheti. Wakazi wa kata ya Dabalo wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wameiomba serikali kuchukua hatua…