Jamii
30 November 2022, 18:07 pm
Ufafanuzi juu ya adhabu za kujihusisha na Dawa za kulevya
Na Musa Mtepa, Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya imejipanga kuweka adhabu kali kwa watu wote wanaojihusisha uuzaji na madawa ya kulevya ikiwemo Walimaji na watumiaji wa Bangi nchini. Wakiwa kwenye Wiki ya Maadhimisho ya siku ya…
26 November 2022, 6:17 am
TRA Katavi wafanya usafi pamoja na kutoa msaada Kwa wagonjwa
MPANDA Katika kuadhimisha wiki ya Mlipa kodi Mamlaka ya ukusanyaji mapato [TRA] mkoani Katavi wametembelea hospitali mpya ya mkoa na kufanya usafi pamoja na kutoa msaada kwa wagonjwa. Akizungumza wakati wa zoezi hilo Meneja wa mamlaka ya ukusanyaji mapato mkoa…
November 9, 2022, 10:12 am
Wananchi Nyandekwa waunga juhudi za maendeleo
Wananchi wa vitongoji vya kigungumli na baseka vilivyopo nyandekwa manispaa ya kahama mkoani shinyanga wameungana kwa ajili ya kuunga juhudi za serikali ya awamu ya sita katika maendeleo kwa kuitisha harambee yenye lengo la ujenzi wa shule ya msingi. Hatua…
12 October 2022, 4:08 pm
Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike wazazi wameaswa kuwa karibu na watoto
RUNGWE-MBEYA NA: SABINA MARTIN Wazazi na walezi wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kutenga muda wa kukaa na kuzungumza na watoto wao kuhusu mambo mbali mbali ili kuwaepusha na vitendo vya ukatili vinavyoendelea katika jamii. Rai hiyo imetolewa na baaadhi ya…
11 October 2022, 11:43 am
Vijana Waaswa Kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere
KATAVI. Vijana Mkoani katavi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kumuenzi baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambalage Nyerere kwa kuwa wazarendo na kudumisha amani ya taifa kuelekea kumbukizi ya miaka 23 ya kifo chake. Kauli hiyo imetolewa na Rafael Peleleza kijana…
5 October 2022, 2:06 pm
Wenyeviti Njoge walia na posho
Na ;Victor Chigwada. Licha ya kufunguliwa akaunti za Benki kwa ajili ya kulipwa Posho ,bado hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya utekelezaji wa malipo hayo kwa Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji. Wenyeviti wa mitaa,vijiji na vitongoji ni miongoni mwa viongozi…
5 October 2022, 1:50 pm
Pombe yapelekea wanaume kupata vipigo toka kwa wake zao
Na; Benard Filbert. Unywaji wa Pombe kupitia kiasi umetajwa kuchangia wanaume katika kijiji cha Kwa mtoro wilayani Chemba kupigwa na wanawake zao. Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taswira ya Habari baada kufika kijiji hapo umebaini kuwa baadhi ya wanaume…
11 September 2022, 3:33 pm
Wazazi watakiwa kufanikisha Mabaraza ya Watoto
Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi na walezi nchini, kuwaruhusu watoto wao kushiriki kwenye Mabaraza ya watoto yaliyopo katika ngazi za Kata hadi Taifa, ili kujenga vipaji vyao vinavyopatikana kwenye mabaraza hayo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…
10 September 2022, 7:43 am
Wananchi Rungwe mjitokeze kuupokea Mwenge
RUNGWE-MBEYA. NA:JUDITH MWAKIBIBI Wananchi wilayani RUNGWE MKOANI MBEYA wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kuupokea mwenge wa uhuru utakaofika 10sept 2022 ilikuweza kuzindua miradi mbalimbali katika halmashauri. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Rungwe Dk Vicent Anney alipokuwa ametembelea…
8 September 2022, 7:27 pm
Wananchi Wadai Fidia Waweze Kuondoka
KATAVI Baadhi ya wananchi wanao ishi mtaa wa Tambukareli kata ya uwanja wa ndege manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuwalipa fidia ili waweze kutoka katika makazi hayo. Wakizungumza na mpanda redio fm wamesema kuwa ni muda mrefu sasa…