Jamii
20 February 2023, 09:29
Jamii yatakiwa kuendelea kuwasaidia watu wenye mahitaji maalumu
kituo cha tumaini kilichopo Ihumwa kina jumla ya watoto 150 wanaolelewa kituoni hapo na wajane 100 ambao wamesaidiwa katika kujiendeleza na miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Fred Cheti Jamii imeshauriwa kuendelea kuwasaidia watu wenye uhitaji ndani ya jamii hata kwa…
17 February 2023, 16:53
Wazazi Sababu Mimba za Utotoni Iringa
Wazazi na walezi mkoa wa Iringa watajwa kuwa chanzo cha mimba za utotoni kwakutozungumza na watoto wao kwa uwazi pindi yanapotokea mabadiliko ya kimwili Na Fabiola Bosco. Wazazi na walezi mkoani Iringa wametakiwa kuzungumza na watoto kwa uwazi pindi yanapotokea…
17 February 2023, 10:02 am
Madhila Wanayopitia Wafanyakazi wa Ndani
15 February 2023, 14:11
PrecisionAir yashindwa kutua Dodoma
Leo Wakati tunasafiri kutokea Dar kwenda Dodoma kutumia ndege ya Precission PW 600, kuna jambo limetokea. Na Joseph Rwegasira Samson. tupo hewani nilikuwa nimekaa dirishani, wakati tunakaribia kushuka Dodoma nikaona engine imezima, tupo hewani OMG…Rubani akatangaza kurudi Dar kwa dharula…
14 February 2023, 7:18 pm
Dkt Naano: wanafunzi 234 Jimbo la mwibara Wilayani Bunda hawajaripoti shule kuan…
Jumla ya wanafunzi 234 waliofaulu kujiunga na masomo ya sekondari jimbo la Mwibara Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara hawajaripoti shule mpaka sasa. Hayo yamebainika leo katika ziara ya kikazi ya mkuu wa wilaya ya Bunda Dr. Vicent Naano…
10 February 2023, 13:45
Huduma za kijamii zazidiwa na ongezeko la watu
Waziri wa Nishati na Madini Januari Makamba mwaka jana dec 25 alisema kuwa Wizara inaanza program ya kupeleka umeme kwenye vitongoji. Kwani tayari serikali imefikia asilimia 75 katika kufikisha umeme vijijini Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa ongezeko la watu…
10 February 2023, 10:15
Programu ya Takukuru Rafiki kuondoa Mianya ya Rushwa Simiyu.
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa -TAKUKURU Mkoani Simiyu imeanza kutekeleza kampeni ya Takukuru Rafiki lengo kupunguza na kuzuia vitendo vya rushwa katika ngazi ya kata na Vijiji. Akitoa Elimu hiyo kwa Jamii kupitia Sibuka fm Mkuu wa TAKUKURU…
7 February 2023, 13:31 pm
Mamcu & Tanecu zarejesha kwa jamii
Chama Kikuu cha Ushirika wa Mazao cha Masasi, Mtwara Cooperative Union (MAMCU) na Tandahimba, Newala Cooperative Union (TANECU) vimetoa Gawio la Shilingi Milioni 253 kuchangia utatuzi wa changamoto zilizopo katika sekta za Elimu, Maji na Afya kwa mkoa wa Mtwara.…
2 February 2023, 16:35
Wadau Ihumwa waishukuru Dodoma fm
Wakiwa kwenye mahojiano leo Leornad Mwacha na Mdau kutokea Ihumwa ndugu Julius Chedego wamezungumza na mdau huyo kutoa shukrani zake juu ya radio hiyo. Na Martha Mgaya Mmoja wa wadau wa Dodoma fm Bwana Julius Chedego leo katika kipindi cha…
31 January 2023, 12:23 pm
Hekima na busara, sababu ya amani msimbati
Jaji Mfawidhi wa Makahama Kuu ya Kanda ya Mtwara Mhe.Zainab Muruke amemtaja mzee Issa Mohamed Mkumba kuwa ni kinara wa kutatua changamoto za migogoro katika jamii bila kufikishana katika vyombo vya usuluhishi na Mahakama. Na Hamza Ally Mzee Mkumba amekua…