Jamii
11 April 2023, 13:34
Jamii yatakiwa kuchukua mikopo kwa malengo
Wananchi wengi wamekuwa wakijiingiza kwenye mikopo ambayo baadae huwa changamoto kwao. Na Leonard Mwacha. Jamii imepaswa kuepuka mikopo ambayo hugeuka kuwa changamoto kwao badala yake wafuate utaratibu wa kifedha ili kuweza kukopa kwa malengo.
7 April 2023, 17:51
Kakakuona aonekana katika kijiji cha Makang’wa wilayani Chamwino
Mnyama huyu wa ajabu ana uwezo wa kujiviringisha kama mpira hasa anapokuwa hatarini, mgongo wake umefunikwa na magamba makubwa na magumu. Na Mindi Joseph. Mnyama Kakakuona ambaye ni nadra sana kuonekana hadharani ameonekana katika kijiji cha makang’wa iliyopo katika wilaya…
5 April 2023, 17:57
Serikali yatenga billioni 15 kwaajili ya kukamilishaji zahanati 300
Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura alitaka kujua Je, nini mpango wa Serikali wa kumaliza ujenzi wa Zahanati kwa vijiji vilivyokamilisha ujenzi wa maboma. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema…
3 April 2023, 17:02
CCM Bahi haijaridhishwa na Ujenzi wa kituo cha mabasi
kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi ccm wilayani humo imetembelea na kukagua zaidi ya miradi 26 ya maendeleo ikiwemo miradi ya afya, elimu, maji, na miundombinu ya barabara ili kuona namna ILANI ya ccm inavyotekelezwa. Na Benard Magawa. Chama…
3 April 2023, 12:24
Jamii yatakiwa kusaidia watoto wenye usonji
Kuna haja ya kuwajumuisha watu wenye ulemavu ikiwemo wenye usonji ili kutimiza azma ya Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs ya kutomuacha yeyote nyuma. Na Seleman Kodima. Jamii imetakiwa kushirikia kikamilifu kusaidia kutatua changamoto zote zinazowakumba watoto wenye usonji bila kutazama…
29 March 2023, 14:11
Wananchi Ndogowe walalamika kuuziwa mahindi bei ghali
Mfumo huu wa usambazaji wa mahindi ya Bei nafuu unalenga kukabiliana na janga la njaa ambalo pia huchangia kupanda kwa bei ya vyakula. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa pamoja na jithada za Serikali kusambaza msaada wa mahindi ya Bei…
27 March 2023, 15:10
Kanisa la Pentekoste Mtakuja lamtaka Mkuu wa wilaya kutatua mgogoro wa a…
Huu ni Muendelezo wa kanisa hilo katika harakati za kuomba serikali ya wilaya ,mkoa na wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuweza kumaliza mgogoro huo ambao wameshindwa kujua ni lini utapata ufumbuzi. Na Seleman Kodima. Uongozi wa kanisa la…
27 March 2023, 14:08
Makala Maalum kuhusu Urembo wa Kucha Bandia
27 March 2023, 12:52
Watoto 172 Iringa Wanufaika Bima ya Afya
Watoto 172 mkoani Iringa wamekabidhiwa bima za afya ili kuweza kumudu matibabu pindi wanapokabiliwa na magonjwa. Na Adelphina Kutika. Taasisi isiyo ya kiserikali ya Rounding Hands to Save Community na Makutano TV kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria cha Iringa na Hidaya Catering…
17 March 2023, 2:09 pm
WANAMAKANGALE WAMPONGEZA DC KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI.
Na Khadija Rashid Nassor Upatikanaji wa maji safi na salama shehiya ya Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, ni miongoni mwa juhudi za Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya katika kuwaletea wananchi maendeleo. Mnamo mwezi wa…