Radio Tadio

Habari

14 September 2023, 06:58 am

Binti mwenye ulemavu atuhumiwa kujinyonga hadi kufa

Marehemu amekutwa amefungwa kamba aina ya Manila shingoni huku puani akichuruzika Damu. Na Musa Mtepa Katika hali isiyo ya kawaida Samia Ahmad Mohamed (20), mkazi wa kijiji cha Sinde, Msangamkuu Halmashauri ya wilaya ya Mtwara, mlemavu wa mikono na miguu…

9 September 2023, 17:01 pm

Rais Samia kufanya ziara ya siku 4 Mtwara

Hii ni Mara ya kwanza kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kufanya ziara mkoani Mtwara akiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambapo kwa mara ya mwisho alifanya mwaka 2016 akiwa Makamu wa Rais. Na Musa Mtepa Rais wa…

6 September 2023, 1:26 pm

Kesi yatajwa kuchelewesha wakazi wa Nyatwali kuhama

Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vincent Naano amesema mchakato wa kuwaamisha wakazi wa Nyatwali huwenda ukakamilika mwishoni mwa mwezi wa tisa. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vincent Naano amesema mchakato wa kuwaamisha wakazi…

September 5, 2023, 12:16 pm

Tanroads yawakosha wananchi ujenzi wa barabara Shinyanga

Na Marco Maduhu – Kahama WANANCHI wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga,wamepongeza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani humo, kwa ujenzi wa miundombinu imara ya Barabara, ambayo imekuwa kichocheo kikubwa cha uchumi,pamoja na akina mama wajawazito kuwahi kufika kwenye huduma…

August 31, 2023, 2:36 pm

Halmashauri ya Msalala yavuka lengo la makusanyo mapato

Na Paul Kayanda/Erick Felino MWENYEKITI wa Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga Mibako Mabubu amepongeza ushirikiano kati ya watendaji wa Halmashauri hiyo pamoja na Madiwani wake kwa kuvuka lengo la makusanyo ya mapato jambo ambalo itakuwa ni mfano wa…