Habari
2 May 2021, 19:54 pm
Watoto 41,339 kupata chanjo Mtwara
Na Gregory Millanzi Mkoa wa Mtwara unatarajia kuwapatia chanjo watoto 41,339 wenye umri wa kati ya mwezi 1 mpaka miezi 18 kwa mwaka 2021 ili kufikia lengo na kuhakikisha jamii inakuwa salama dhidi ya magonjwa yanayoepukika kwa chanjo.Akizungumza na Jamii…
8 April 2021, 19:35 pm
Wananchi hameni
Wananchi waishio Kando ya bwawa la Kijiji Cha Msakala, kata ya Ziwani Mtwara Vijijini Jana Tarehe 07 Aprili, 2021 wametakiwa kuondoka mara Moja kuepuka kadhia ya kuharibiwa Makazi yao pindi bwawa linapojaa. Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Wilaya ya…
29 March 2021, 5:55 am
CAG, TAKUKURU Zaagizwa kufanya uchunguzi BOT
Na; Mariam Kasawa. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kushirikiana kwa pamoja kuchunguza fedha zilizotoka Benki kuu ya Tanzania kwa kipindi cha Januari…