Habari
7 Machi 2023, 00:12 mu
Mhe. Waziri Ndalichako awasili Mtwara
Na Mohamed Massanga Waziri wa Nchi – Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewasili mkoani Mtwara leo Machi 6, 2023 kwa ziara ya siku mbili kwa lengo la kukagua maendeleo ya maandalizi ya Uzinduzi wa Mwenge…
6 Machi 2023, 10:03 um
Shilole atoa wito huu kwa wazazi Mitandaoni.
Msanii wa muziki na mjasiriamali maarufu Tanzania Bi. Zuwena Mohamed maarufu kama ‘Shilole’ ametoa wito kwa wanawake kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili vinavyoweza kutokana na matumizi ya mitandao ya kijamii. Shilole alikuwa moja ya wageni walopata afas…
6 Machi 2023, 9:55 um
Mwenyekiti U.W.T awasisitiza wanawake Kugombea
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Bi. Mary Pius Chatanda amewataka wanawake kuhakikisha wanachukua fomu kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Bi Chatanda ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, ambayo yamefanyika wilayani Pangani hapo…
3 Machi 2023, 12:29 um
WCF kuendelea kuboresha utoaji huduma
Dkt.Mduma amesema kwa kipindi cha kuanzia Mwezi Machi 2021 hadi Februari 2023 Waajiri wapya 5,250 wamejisajili WCF huku kati ya waajiri hao asilimia 99.27% ni waajiri wakubwa, huku asilimia 98.71% ni waajiri wa kati na waajiri wa chini ni asilimia…
1 Machi 2023, 7:12 um
Dc aagiza tathimini ya maafa kufanyika haraka
Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt Julius Ningu amewaagiza wataalamu kufanya tathmini ya Nyumba zilizoezuliwa na upepo katika Kata ya Minepa ili Kupata takwimu sahihi za wahanga. Mkuu wa Wilaya huyo ameyasema hayo February 27,Mwaka huu alipofika…
1 Machi 2023, 1:53 um
Barabara ya Lami Tanga-Pangani hii hapa.
Barabara ya Tanga-Pangani KM 50, ni sehemu ya barabara ya Tanga- Pangani- Saadani -Bagamoyo yenye urefu wa KM 256 ambayo ni sehemu ya barabara kuu ya Horohoro-Tanga- Pangani- Saadani – Bagamoyo hadi Dar es Salaam kwa upande wa Tanzania na…
27 Febuari 2023, 4:16 um
Vyombo vya habari vyatakiwa kutoa elimu
Wito kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kutunza vyanzo mbalimbali vya maji. Na Mindi Joseph. Wito umetolewa kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa…
25 Febuari 2023, 4:50 um
Polisi Muheza waingilia kati utoro unaosababishwa na Machungwa
Na Saa Zumo Baadhi ya vijana wilayani Muheza Mkoani Tanga wamekumbwa na tabia ya kutotilia mkazo suala la Elimu na kukimbilia katika biashara ya uuzaji wa machungwa. Kutokana na wilaya hiyo kuzalisha kwa wingi machugwa zao hilo ni rahisi kupatikana…
24 Febuari 2023, 9:07 mu
Mwenezi CCM Bunda aipa kongole Radio Mazingira
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Bunda, Gasper Charles amewahasa wananchi kuendelea kuisikiliza Radio Mazingira Fm kwa ajili ya kupata habari na taarifa mbalimbali. Wito huo ameutoa leo tarehe 23 Feb 2023 wakati alipotembelea ofisi za Radio Mazingira…
21 Febuari 2023, 3:32 um
Wanufaika wa mpango wa TASAF Bahi wameishukuru serikali
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka mpango maalumu wa kusaidia kaya masikini ambao utaleta ahueni. Na Bernad Magawa. Wanufaika wa mpango wa TASAF katika kijiji cha Bahi Sokoni wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya Jamhuri ya…