Radio Tadio

Habari

20 July 2023, 2:20 pm

Waandishi wa habari Geita waanzisha mradi

Mkurugenzi wa umoja wa klabu za waandishi wa habari nchini (UTPC) Kenneth Simbaya ametoa wito kwa klabu zingine nchini kuiga uanzishaji wa miradi ya kujiingizia kipato kama klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Geita kwa kuanzisha mradi wa pikipiki.…

13 July 2023, 15:35 pm

Timu ya Mtoto Kwanza yatambulishwa Mtwara

Na Gregory Millanzi “Sisi kwenye mkoa wetu huu watoto wana shida kubwa ya kufanyiwa ukatili wa kijinsia, najua kupitia KIMAS na mradi huu utapambana na hatari zote ambazo zinatokana na hawa watoto, pia itaongeza uelewa wa malezi na makuzi ya…

2 July 2023, 3:43 pm

Km 25 barabara za lami kupendezesha mitaa Bunda

Mkuu wa wilaya ya Bunda Dk Vicent Naano amesema serikali imeleta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara kilometa 25 za lami ndani ya barabara za mitaa Bunda mjini,  stendi mpya ya kisasa, soko, pamoja na machinjio. Dc Naano ameyasema…

2 July 2023, 3:35 pm

CHADEMA: Baadhi ya AMCOS hatarini kufilisiwa Bunda

Baadhi ya vyama vya ushirika AMCOS halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara viko kwenye hatihati ya kuuzwa mali zao ikiwa ni pamoja na maghala au stoo kutokana na mikopo ya matrekta kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo. Haya yamebainishwa…

June 28, 2023, 2:46 pm

NAOT yawanoa wanahabari Shinyanga

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (National Audit Office of Tanzania – NAOT) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC) ambapo waandishi wa habari wamejengewa uwezo kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo nafasi ya vyombo vya…

22 June 2023, 7:13 pm

Maswa: RC aagiza hoja zote za CAG  zifungwe

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda ameuagiza uongozi wa wilaya ya Maswa kuhakikisha wanafunga hoja zote za Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizotolewa baada ya kufanya ukaguzi wa fedha kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Dkt…