Radio Tadio

Habari za Jumla

20 June 2022, 6:32 pm

Wanaume wa Pangani na malezi ya Watoto.

Wanaume wilayani Pangani Mkoan Tanga wamepewa wito wa kutimiza vyema wajibu wao katika malezi ya watoto bila ubaguzi wa kijinsia. Wito huo umetolewa na baadhi ya kina mama wilayani humo ambao kwa wamezungumza na Pangani FM. Wanawake hao wamedai kuwa…

June 17, 2022, 12:46 pm

HABARI ZA SENSA ZITOKE KWENYE VYANZO SAHIHI

Wahariri wa vyombo vya habari vya Redio jamii wameombwa kuhakikisha wanashiriki zoezi la sensa kwa weledi kwa kutoa taarifa za habari zenye vyanzo sahihi kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Hayo yamesemwa na muwasilisha mada Dkt. Abubakar Rajab katika mafunzo ya…

8 June 2022, 3:42 pm

WAZAZI SIMAMIENI MALEZI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI

Baadhi ya wazazi na walezi mkoani katavi wameshauriwa kuwalea watoto katika misingi bora ili kuepuka janga la watoto wa mitaani na mmomonyoko wa maadili. Wakizungumza na mpanda fm baadhi ya wazazi hao wamesema kuwa hali duni ya maisha ndio sababu…

7 June 2022, 1:46 pm

Halmashauri ya Pangani kugawa miche 544,000 ya Mkonge.

Halmashauri ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga kupitia idara ya Kilimo imefanikiwa kukuza miche 544,000 ya zao la Mkonge. Akizungumza katika mahojiano na Pangani FM leo Afisa kilimo wa Halmashauri hiyo Bw. Ramadhani Zuberi amesema miche hiyo imekuzwa katika vitalu…