Radio Tadio

Habari za Jumla

8 March 2024, 16:27

Kyela: Vijana 10 wa greengard wakabidhiwa sare Itunge

Vijana wa chama cha mapinduzi uvccm  kata ya itunge wilayani kyela wamekabidhiwa sale aina kombati kwa ajili ya mandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024-2025. Na Emmanuel Jotham Vijana kumi (10) wa Green Gard walio kwenda mafunzo kupitia chama…

8 March 2024, 4:17 pm

Wanawake wahimizwa kushiriki ngazi za uongozi

Ili kuhakikisha uchumi wa familia unaimarika, wanawake wametakiwa kutambua nafasi zao kwenye jamii. Serikal imetakiwa kuhakikisha inaendelea kuwakwamua wanawake kiuchumi na kijamii ili kuweza kufikia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa…

8 March 2024, 16:09

Nyani aingia ndani na kumjeruhi mtoto Kyela

Katika hali isiyokuwa ya kawaida nyani aina ya ngedere akiwa anakimbizwa kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine gafla akikimbilia ndani na baadaye kumjeruhi mtoto. Na Masud Maulid nyani aliyekuwa anakimbizwa na watoto maeneo ya Majoka wialayni kyela  ameingia ndani ya…

8 March 2024, 11:24 am

Zaidi ya milioni 3 kukarabati shule Rungwe

Shule ya msingi Katumba one ni shule iliyojengwa miaka 50 iliyopita na kutumika bila kufanyiwa ukarabati wowote, hatimaye sasa inakwenda kukarabatiwa kwa ufadhili wa mbunge. Na Bahati Obel Mbunge wa jimbo la Rungwe Anton Mwantona amekabidhi msaada wa bati 108…

8 March 2024, 09:42

Watumishi wa umma fuateni maadili ya kazi

Miradi ya maendeleo haiwezi kuwa na viwango kama viongozi hawana maadili ya kazi na viapo vyao. Na James Jovin. Watumishi wa umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi zao kwa kuzingatia maadili ya kazi na…

8 March 2024, 8:45 am

NSSF Hai watoa msaada kuelekea siku ya wanawake duniani

Katika kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo Machi 8 kila mwaka NSSF wilaya ya Hai wametoa msaada kwa wenye uhitaji. Na Stanley Christian Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Shirika la Taifa la…