Habari za Jumla
16 July 2024, 5:08 pm
DED Sengerema asisitiza utoaji wa huduma bora za afya
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan imewekeza fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya vituo vya kutolea huduma za nchini ambapo katika Halmashauri ya Sengerema fedha nyingi zimeletwa kwa ajili ya kununua…
16 July 2024, 9:43 am
Kutoeleweka dhana ya 50 kwa 50 chanzo cha malezi ya mzazi mmoja mkoani Katavi
Picha na Mtandao “malezi ya mzazi mmoja na Wamekuwa wakitoa elimu katika jamiii ili Watoto wapate malezi ya wazazi pande zote.“ Na Rachel Ezekia-Katavi Kufuatia takwimu za zinazoonesha ongeza la Watoto wanaolelewa na mzazi mmoja, Wazazi na walezi Manispaa ya…
11 July 2024, 5:42 pm
Sendiga amaliza mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na halmashauri ya Babati Mji
mgogoro wa ardhi
11 July 2024, 5:10 pm
Tume huru ya uchaguzi yasisitiza ushirikiano Katavi
Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari ambaye ni mjumbe wa tume .picha na Rachel Ezekia “Tayari halmashauri na majimbo yameshapokea vifaa kwa ajili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura”. Na Rahel Ezekia -Katavi Tume huru ya uchaguzi …
11 July 2024, 16:49
Nyongo amwaga maua kwa Dkt.Samia kwa utekelezaji miradi Maswa
“Ujenzi wa mabweni mashuleni watajwa kuwa mwarobaini wa kukabiliana na mimba mashuleni haswa kwa wanafunzi wa kike Ili waweze kutimiza malengo yao” Na, Daniel Manyanga Naibu waziri ofisi ya Rais mipango na uwekezaji ambaye pia ni mbunge wa jimbo la…
11 July 2024, 14:52
DC Kilombero apiga marufuku kuingiza mifugo ndani ya misitu ya asili Ifakara
Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya ameagiza wale wote wanaoingiza mifugo kwenye misitu ya asili ya Ibiki na Mbasa iliyopo kijiji cha Sululu kata ya Signal kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Wakili Kyoba ametoa…
11 July 2024, 8:51 am
Wakulima kunufaika na soko jipya Rungwe
Katibu wa mbunge jimbo la Rungwe ndg Gabriel Mwakagenda akiongea na vyombo vya habari katika kukabiliana na changamoto ya masoko mbunge wa jimbo la Rungwe amesema kwamba serikali inatarajia kujenga soko la ndizi ili kuinua uchumi wa mkulima. RUNGWE-MBEYA Na…
10 July 2024, 10:50 am
Aliyechoma picha ya Rais alipa faini
Ni takribani siku tano zimepita tangu mahakama ya wilaya ya Rungwe ilivyomtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani au kulipa faini ya shilingi milioni tano kijana Shadrack Chaula (24) sasa yupo huru baada ya kulipa faini. Na Ezekiel…
10 July 2024, 9:44 am
Halmashauri kuzuia magari kushusha na kupakia mizigo soko kuu Makambako
Na Cleef Mlelwa – Makambako Wafanyabiashara 112 wa mazao ambao waliingia ubia na halmashauri ya mji wa Makambako katika ujenzi wa soko la mazao kiumba lilopo kata ya Lyamkena wametakiwa kuhamia kwenye soko hilo huku halmashauri ikikitakiwa kuzuia magari makubwa…
9 July 2024, 5:17 pm
Wananchi waipa heko tume ya ushundani {FCC} nyanda za juu kusini
Na Lameck Charles Highlands Fm Mbeya Wananchi wilayani kyela mkoani mbeya wameipongeza tume ya ushindani (FCC) Kanda ya nyanda za juu kusini kwa kuendelea kuwapa elimu kuhusu haki za mlaji na viashiria vya bidhaa bandia. Wameyasema hayo kwenye maonesho ya…