Habari za Jumla
8 August 2024, 11:11 am
Elimu ya sheria imeombwa kutolewa kwenye jamii ili kujenga uwelewa Rungwe
kutokana na jamii kutokuwa na uwelewa juu ya masuala ya sheria serikali inatakiwa kuweka utaratibu wa kuelimisha wananchi wake RUNGWE-MBEYA Na Gwamaka Mwakisyala Ili kuhakikisha kuna kuwa na uwelewa wa sheria mbalimbali za nchi kwa wananchi,taasisi za kiraia na za…
8 August 2024, 9:28 am
Wananchi Katavi watakiwa kuchunguza miili yao kuepukana na magonjwa sugu
Picha na Mtandao “kupima afya ya mwili mara kwa mara kunasaidia kuondoa usugu wa magonjwa kwani kama ukibainika kuwa na ugonjwa unatibiwa katika hatua za awali za ugonjwa” Na Rachel Ezekia-Katavi Baadhi ya wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani Katavi…
6 August 2024, 6:51 pm
Wafanyabiashara Manyara watakiwa kutumia EFD mashine
Imeelezwa kuwa lengo la kuanzishwa kwa mfumo wa mashine za kieletroniki (EDF) mashine ni pamoja na kumrahisishia mfanyabiashara utunzaji wa kumbukumbu za biashara kwasiku Na marino kawishe Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuendelea kutumia mashine za Kieletroniki(EFD)kwenye biashara zao ili kuondoa…
6 August 2024, 3:33 pm
Binti ajifungua na kutupa kichanga chooni Geita
Kituo cha redio cha Storm FM kilichopo mkoani Geita kinaendesha kampeni ya kupinga vitendo vya ukatili iitwayo INATOSHA PINGA UKATILI yenye lengo la kupaza sauti kwa jamii kuachana na vitendo vya ukatili. Na: Evance Mlyakado – Geita Katika hali isiyokuwa…
1 August 2024, 17:13
Katibu wa Amcos ya Kidema wilayani Maswa matatani
Mwendesha Mashtaka wa Takukuru ameeleza kuwa Mshtakiwa alifikishwa Mahakamani hapo Januari 05, 2023 kwa Makosa Mawili ya kutoa fedha kiasi Tsh. 1,228,000/= kwenye akaunti ya KIDEMA AMCOS na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi badala ya kulipa ushuru kwenye akaunti ya chama kikuu Cha…
1 August 2024, 2:42 pm
Chem chem Association yakabidhi maboma 15 kwa wafugaji Manyara.
Kutokana na uwelewa mdogo wa wafugaji namna ya kulinda mifugo yao ili isivamiwe na wanyama wakali serikali itaendelea kutoa elimu kwa kushirikiana na wadau ili kujenga maboma hai mengine na kulinda wanyama wanaofugwa na binadamu . Na Marino Kawishe Taasisi…
1 August 2024, 07:53
Kurasa za magazeti August 1, 2024
31 July 2024, 10:16
Kurasa za magazeti ya Tanzania Julai 31, 2024
30 July 2024, 18:53
Barabara ya Mbalizi-Shigamba kupendwa kwa shilingi bilioni 2
Barabara ni kiunganishi kikubwa cha maendeleo ya nchi na watu, ukosefu wa miundombinu hiyo husababisha watu kushindwa kuzalisha na kupata uchumi Mara nyingine hata kukosa huduma Bora za afya hasa pindi mama majamzito anapokwenda kujifungua . Na Josea Sinkala, Mbeya…
30 July 2024, 3:34 pm
Maendeleo ya miundombinu Kata ya Terrati Simanjiro Mkoani Manyara
Diwani wa Kata ya Terrat bwana Jackson Materi picha na Isack Dickson Na Evanda Barnaba Ujenzi wa Barabara ya kuunganisha vijiji vya Terrat,Loswaki na Engonongoi bado unaendelea kusubiri mfumo wa serikali unaohusisha kutolewa kwa fedha mara baada ya mwaka wa…