Radio Tadio

Habari za Jumla

12 Disemba 2024, 3:51 um

Maswa:Ukatili wa kijinsia watajwa kupungua

Wadau na wanaharakati wa haki za binadamu Duniani  na Nchini Tanzania wameendelea na harakati za kuhakikisha kuwa usawa kwa wote unafikiwa,licha yakuwepo na wimbi la taarifa za ukatili wa kijinsia unaoripotiwa kwenye maeneo mengi Nchini na Duniani kwa ujumla. Na,…

Disemba 9, 2024, 9:19 mu

Majengo ya WFP Isaka Kahama yakabidhiwa serikali

Shirika la chakula duniani World Food Programme (WFP) limekabidhi kwa serikali majengo na ardhi iliyokuwa ikitumia katika Kata ya Isaka Wilayani Kahama mkoani Shinyanga yenye ukubwa wa hekari saba sawa na kilomita za mraba 29,450. Na Paschal Malulu-Huheso FM KAHAMA…

6 Disemba 2024, 18:47

DSW yatoa mafunzo kwa Vijana,walimu na watalaamu wa afya chunya

katika kuhakikisha sauti za vijana zinasikika ili kutokomeza ukatili wa kijinsia na kuwapatia huduma rafiki kwa afya ya vijana viongozi wa shirika la DSW Tanzania wamewakutanisha vijana,walimu na wataalamu wa afya Chunya mkoani Mbeya. Na Lukia Chasanika Vijana,walimu na wahudumu…

4 Disemba 2024, 8:19 um

Katavi:halmashauri zatakiwa kulipa madeni ya wafanyabiashara

“halmashauri zimekuwa zikidaiwa madeni hayo kwa muda mrefu bila mafanikio“ Na Samwel Mbugi-Katavi Wafanyabiashara mkoa wa Katavi wailalamikia serikali kutolipa madeni kwa wakati wanayodaiwa na baadhi ya wafanyabiashara ambao wanazidai halmashauri Hayo yamesemwa na Aman Mahellah mwenyekiti wa jumuiya ya…

Disemba 3, 2024, 11:39 mu

Veta Nyasa Fursa kwa kujiajiri

Chuo cha Ufundi Stadi Veta Nyasa kimefanya Mahafali yake ya kwanza mahafali yaliyofanyika hivi karibuni  katika Viwanja vya Chuo hicho na Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ni Mkuu Wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri . kwenye picha ni mgeni…