Radio Tadio

Habari za Jumla

28 May 2025, 16:47

Jamii yatakiwa kuachana na imani potofu kuhusu saratani ya damu

Na Mary Julius. Jamii imetakiwa kuachana na imani potofu zinazohusiana na watu wanaopungukiwa damu mara kwa mara kwa kudhani kuwa wamerogwa au wana majini, na badala yake kuwahisha hospitalini ili kupata uchunguzi wa kitabibu.Akizungumza na Zenji FM, ikiwa ni maadhimisho…