Habari za Jumla
19 May 2025, 17:03
Zanzibar kuimarisha mfumo wa taarifa za kijiografia kwa maendeleo endelevu
Na Mary Julius. Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said, ameitaka Tume ya Mipango Zanzibar kuandaa waraka mahsusi utakaoelezea kwa kina namna ya utekelezaji wa mfumo wa ukusanyaji, uhifadhi, na usambazaji wa taarifa…
19 May 2025, 3:12 pm
Matukio ya wizi yakomeshwa,ulinzi shirikishi watajwa
Ulinzi shirikishi katika mtaa wa Mpadeco kata ya Makanyagio manispaa ya Mpanda mkoani Katavi umetajwa kuwa moja ya njia inayosaidia kutokomeza matukio ya kihalifu Wakizungumza na Mpanda Redio FM baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mpadeco wamesema kuwa ulinzi shirikishi…
19 May 2025, 2:50 pm
Waumini wa dini ya Kiislam waonywa kuachana na uovu
‘Waishi kwa kufuata maelekezo na misingi ya imani mwenyezi Mungu.‘ Na Samwel Mbugi -Katavi Sheikh mkuu wa mkoa wa Katavi Nassor Kakulukulu amewataka waumini wa dini ya Kiislam mkoani Hapa kuachana na uovu na badala yake waishi kwa kufuata maelekezo…
19 May 2025, 2:18 pm
Biashara ya kaboni yaibadilisha Tanganyika
‘miradi mingi imetekelezwa na kukamilika na inaleta manufaa kwa wananchi wa halmashauri hiyo.’ Na Betord Chove -Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Tanganyika kwa utekelezaji mahili wa miradi ya kimikakati inayoendelea wilayani hapo…
16 May 2025, 4:35 pm
Rais Samia kupongezwa kwa kuunda tume kutatua migogoro Ngorongoro
Viongozi na watendaji mbalimbali wa kiserikali hapa nchini wamekuwa wakitoa matamko ya kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo wanayoataja wao yameletwa nae. Na Zacharia James Baraza la madiwani halmashauri Ngorongoro limepitisha azimio…
16 May 2025, 9:56 am
Wazazi watakiwa kuwalida watoto dhidi ya ukatili
Wazazi wametakiwa kuwajengea watoto wao uwezo wa kujiamini kutokana na matukio ya kikatili yanayoendelea kushamiri hapa nchini. Na Mariam Mallya Afisa Mradi Magdalena Mchome kutoka Taasisi ya (WEGS) inayojihusisha na kuwainua wanawake kiuchumi pamoja na masuala ya kijinsia (WEGS) Iliyopo…
15 May 2025, 3:03 pm
Kumbukeni kujiandaa kukabiliana na ukame Terrat Simanjiro
“Huu ndiyo wakati wa kuhakikisha maeneo yetu ya malisho yanalindwa, kuhifadhi mbegu za majani, na kuhakikisha tunafuata utaratibu wa kulisha mifugo ili kipindi cha ukame kisitukute hatuna maandalizi,” Kone Medukenya Na Baraka David Ole Maiaka Jamii ya wafugaji wa kijiji…
13 May 2025, 6:30 pm
Qash Sekondari yakabidhiwa bweni lenye thamani ya shillingi million 200
Mkurugenzi mkazi wa Shirika la STC Roselyne Mariki amesema ujenzi wa bweni la shule ya sekondari Qash umegharimu kiasi cha shilingi million mia mbili na limejengwa kwa ushirikiano wa wananchi wa kata ya Qash Na Marino Kawishe Shirika lisilokuwa la…
13 May 2025, 14:25
Kampeni ya msaada wa kisheria yawa mkombozi kwa wananchi vijijini
Mary Julius. Kadhi wa Wilaya ya Kusini Abubakar Ali Mohamed amesema utekelezaji wa Kampeni ya msaada wa kisheria katika kutoa elimu kwa wananchi hasa wa vijijini kumesaidia wananchi wengi kuzitambua njia na taratibu za kisheria katika kudai haki zao zinazohusiana…
12 May 2025, 14:12 pm
Ashikiliwa kwa kukata nyeti za rafiki yake
Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro uliotokana na tuhuma za wizi, ambapo mtuhumiwa alimshuku marehemu kuwa anamuibia baadhi ya vitu vyake. Na Lilian Martin Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtu mmoja aitwaye Wales Gerald (45), mkazi…