Habari za Jumla
12 June 2025, 15:16
Tanesco Yahamasisha Wananchi Kutumia Vifaa vya Kisasa vya Kupikia kwa Umeme –…
Katika Maonesho ya Pili ya Madini ya Mkoa wa Lindi (Lindi Mining Expo 2025), Meneja wa TANESCO Mkoa wa Lindi, Bw.Theodory Hall amewataka wananchi kuachana na matumizi ya mkaa na kuni na badala yake kutumia vifaa vya umeme vya kisasa vya kupikia kama…
12 June 2025, 15:05
Tuimarishe afya zetu kwa kufanya mazoezi
Na Loveness Josefu“Wananchi tuimarishe afya zetu kwa kufanya mazoezi na kuzingatia ulaji unaofaa” Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa Wa Lindi Mhe. Zainabu Telack leo 12 Jun 2025 katika mbio za ridhaa zilizofanyika asubuhi mapema kwa kuianza siku ya pili…
11 June 2025, 19:40
Watu wenye ulemavu Songwe waja naombi
kutokana na kuwepo kwa mashindano ya watu wenye ulemavu ngazi ya Taifa timu wa walemavu mkoa wa Songwe wameomba wadau mbalimbli kuwaunga mkono ili waweze kushiriki mashindano hayo. Na Ezra Mwilwa Timu ya soka ya walemavu wanaume mkoani Songwe wameomba…
11 June 2025, 18:34
CAG aibua hoja za kisera Mlimba
Mapendekezo ya hoja hizo ni kuendelea kuomba watumishi wa sekta mbalimbali na kufanya ufuatiliaji wa namna ya kupunguza changamoto za miundombinu ya elimu na afya Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Adam Malima amesema hoja nyingi…
11 June 2025, 10:37 am
NGO’s zatakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano
Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamefanya mkutano wa pamoja katika kuweka mikakati yakufanya kazi kwa pamoja na kubainisha changamoto zao kwenye uongozi wa wilaya ya Hai Na Henry Keto. Hai-Kilimanjaro Mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kukaa pamoja kuweka mikakati yakufanya…
10 June 2025, 11:02 am
TACOGA 1984 yaongeza ujuzi kwa washauri wa wanafunzi
TACOGA 1984 yaweka mkazo kwa ushauri rafiki na wa kisasa kwa wanafunzi wa vyuo Na Samwel Mpogole Chama cha Ushauri na Uelekezi kwa Washauri wa Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TACOGA 1984) kimetoa mafunzo kwa washauri wa wanafunzi…
6 June 2025, 14:46
Polisi Kusini Unguja wahakikisha usalama wa baraza la Eid na sikukuu ya Eid El-A…
Na Omar Hassan. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP. Daniel Shillah amesema Swala na Baraza la Eid linalotarajiwa kufanyika Mkoa wa Kusini Unguja Kitaifa pamoja na Skukuu ya EID EL ADH-HA zitafanyika kwa…
5 June 2025, 09:15
DC Maswa atahadharisha Madiwani figisu za Ununuzi wa Pamba
Diwani ni haki yake kufanya biashara ya Ununuzi wa Pamba kwasababu pamba siyo shughuli ya Halmashauri kwahiyo hakuna mgogoro wa kimasirahi kwa diwani kununua Pamba, Lakini sitavumilia Diwani atakayefanya hujuma katika ununuzi wa Pamba mimi Nitakuning’iniza tu “Mhe Dkt Vicent…
4 June 2025, 20:25
TAKUKURU yabaini milioni 26 kuliwa na viongozi wa AMCOS Simiyu
“Rushwa ni adui wa haki na maendeleo lazima kwa nguvu zote viongozi waipinge rushwa maana leo utaona kuna watu wachache wasiokuwa waadilifu wanatumia turufu ya uongozi wao kupora haki za watu kujilimbikizia mali ambazo ni wizi na kuwanyima watu ambao…
4 June 2025, 6:57 pm
TAKUKURU yahimiza waandishi kupambana na Rushwa wakati wa uchaguzi
Waandishi wa habari wamehimizwa kushiriki katika mapambano dhidi ya Rushwa hasa Taifa linapoelekea katika uchaguzi mkuu Na Samwel Mpogole Taaisisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa mbeya imewataka waandishi wa habari kushirikiana nao bega kwa bega, hasa…