Habari za Jumla
5 Machi 2025, 17:51
Mhandisi Maryprisca akabidhi mabati bweni la wasichana Shizuvi
Naibu waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi atimiza Hadi yake kusaidia ujenzi wa Bweni Na Hobokela Lwinga Siku chache baada ya Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi…
05/03/2025, 11:20
Bibi adaiwa kumwagia chai ya moto mjukuu wake
Licha ya serikali kuendelea kutoa elimu juu ya athari za vitendo vya ukatili hususani kwa watoto, bado baadhi ya wananchi wameendelea kutenda matukio hayo. Na: Emmanuel Twimanye – Sengerema Mtoto mwenye umri wa miaka 14 katika mtaa wa Misheni wilayani Sengerema…
Machi 3, 2025, 11:27 um
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza watakiwa kuripoti shule
Watoto wote waliofaulu kijiunga na kidato cha kwanza mkoani Shinyanga watakiwa kuripoti shule, huku wazazi wakitakiwa kuwapeleka shule na wakikaidi agizo hilo watachukuliwa hatua za kisheria Na Sebastian Mnakaya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amewataka Wazazi na walezi…
3 Machi 2025, 12:36 um
Maswa:Halmashauri maswa yazindua mnada mpya
Halmashauri Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeendelea na adhima yake ya kuhakikisha inaongeza ukusanyaji wa mapato kwa kuanzisha vyanzo vipya vya mapato kwa lengo la kuharakisha maendeleo Wilayani hapo Na, Alex Sayi-Maswa Simiyu. Halmashauri wilayani Maswa mkoani Simiyu imeanzisha gulio na…
3 Machi 2025, 10:08
Wanawake Block D Ilomba watembelea gereza la Rwanda,Mbeya
Katika kuadhimisha kilele cha siku ya mwanamke Duniani wanawake mkoani Mbeya watumia nafasi hiyo kuwatembelea wahitaji mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Kuelekea siku ya mwanamke duniani Umoja wa kina mama mtaa wa Block D Ilomba wametembelea gereza la Ruanda upande wa…
2 Machi 2025, 6:38 um
Maswa:wajawazito (400-450)hujifungua ndani ya mwezi mmoja
Jamii Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeaswa kujenga tabia ya kuwatembelea wajawazito na wazazi wanaojifungua ili kusaidia mahitaji muhimu ya uzazi kwa wazazi hao. Na,Alex Sayi Maswa-Simiyu Uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu umebainisha kuwa ndani ya mwezi…
2 Machi 2025, 11:55 mu
Mtaala mpya wa elimu imepokelewa kwa furaha Busokelo
Afisa uthibiti ubora wa shule Halmashauri ya Busokelo Bi,Asha Kibiki akiwa ofisini kweke [picha na Peter Tungu] katika kwendana na mabadiliko ya sanyasi na teknolojia jamii imetakiwa kuendana na mabadiliko hayo ili kuweza kuanda watoto kuweza kujiajili BUSOKELO- MBEYA Na…
27/02/2025, 17:47
Bajeti ya mwaka 2025/2026 itazingatia mapendelezo ya mabaraza ya Watoto
Na Mary Julius. Afisa Mipango Wilaya ya Magharib b Faida Khamis Ali amesema bajeti ya mwaka 2025 2026 imezingatia mapendelezo yaliyo tolewa na Mabaraza ya watoto. Afisa ameyasema hayo wakati Akifungua kikao cha watoto wadau wa asasi za kiraia na…
Febuari 27, 2025, 12:35 um
Wasichana 700 waokolewa na ukatili mikoa ya Shinyanga na Mara
“Tunatambua kuwa hapa kijijini swala la upatikanaji wa maji safi na salama kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi na jamii na jamii bado ni tatizo, hivyo kampuni inawaomba wote kwa ujumla tuwe na subra kwa maana kampuni imekwishafikisha ombi la…
24 Febuari 2025, 5:39 um
Ubovu wa miundombinu katika soko la Machinjioni huathiri huduma
Picha ya soko la Machinjioni. Picha na Edda Enock “Tunashindwa wapi pa kupeleka haja zetu soko halina choo” Na Edda Enock Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la machinjioni manispaa ya Mpanda mkoani katavi wametoa malalamiko yao kwa serikali kuhusu hali…