Habari za Jumla
21 July 2025, 17:29
ADC yatoa ahadi ya elimu bure hadi vyuo vikuu
Na Is haka Mohammed. Chama cha Allience for Democtatic Change (ADC) kimesema kikipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar kitafanya mageuzi katika sekta ya Elimu kwa kutoa elimu bure kwa watoto wa Skuli za Maandalizi hadi ngazi ya vyuo Vikuu.Akizungumza na Wananchi…
20 July 2025, 8:25 pm
Kanisa la Mungu Tanzania lawataka waumini kushiriki uchaguzi mkuu
Waumini wa dhehebu la Kanisa la Mungu Tanzania wametakiwa kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika october mwaka huu kwa amani na utulivu na kumchagua kiongozi mwenye sifa ya kuongoza. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na Profesa Pastory Majembe ambae ni…
18 July 2025, 10:48 am
Kilio cha muda mrefu kwa shule za shumba vyamboni na Tumbe chatatuliwa
Shule za shumba vyamboni masingi Tumbe na Tumbe Sekondari ni miongoni mwa shule ambazo zilikuwa na kilio cha muda mrefu wa kupata huduma ya fotokopi kwa ajili ya kutolea mitihani ya wanafuni pamoja na shughuli nyengine za kiofisi ,kilio hicho…
18 July 2025, 9:09 am
Jela maisha kwa kubaka na kulawiti mtoto (6)
“Mtoto huyo alikuwa akiishi na bibi yake na kusoma darasa la kwanza mara nyingi akirudi nyumbani anakuwa peke yake kwa kuwa bibi yake anakuwa katika shughuli za kujitafutia riziki hivyo mshitakiwa kwa kuwa walikuwa majirani, alitumia nafasi hiyo kutenda unyama…
17 July 2025, 12:58
Madereva wa mabasi wamehimizwa kuzingatia sheria
Madereva wa mabasi yanayofanya safari zake kuanzia Stendi kuu ya mabasi Mbeya wamehimizwa kufuata na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali. Akizungumza na madereva hao Julai 17, 2025 Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya Mrakibu…
14 July 2025, 12:25 pm
Wafanyabiashara Mashujaa wagusa mioyo Isupilo, Makalala
Kujitoa kwa jamii ni kitendo cha kiugwana kinachoonyesha upevu wa kimaadili na upendo wa kweli. Ni tendo ambalo lina nguvu ya kubadilisha maisha ya watu, kuvunja mnyororo wa mateso na kuleta tumaini mahali palipojaa giza. Na Marko Msafiri Katika kuadhimisha…
12 July 2025, 08:02
Sun King kuajiri vijana zaidi ya 300
Kampuni ya Sun king licha ya kujihusisha na masuala ya nishati mbadala imekuwa ikitengeneza ajira kwa vijana kama njia ya kuiunga mkono serikali kukabiliana na changamoto ya ajira hapa Nchini Na Katalina Liombechi Kampuni ya Sun King, inayojishughulisha na huduma…
11 July 2025, 11:30 pm
Wanaohujumu miundombinu ya maji Kagera kuchukuliwa hatua
Wanunuzi wa vyuma chakavu na mafundi bomba mkoani Kagera wametakiwa kutoa ushirikiano na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Bukoba (BUWASA) ili kuwabaini watu wanaoiba na kuharibu miundombinu ya maji. Na.Avitus Kyaruzi Mamlaka ya maji safi na usafi…
11 July 2025, 10:53 pm
TMDA yawaonya wananchi kuuza dawa sehemu za minada
Wafanya biashara wa dawa za mifugo mkoani Manyara wametakiwa kuacha Tabia ya kuuza dawa hizo katika minada au sehemu ambayo haitambuliwi na serikali kwani dawa hizo zinakuwa zimepoteza ubora na ufanisi. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa Leo na afisa…
11 July 2025, 9:52 pm
Mwenge wa uhuru kutembelea miradi ya zaidi ya shilingi billion 10 Babati
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, amesema Mwenge wa Uhuru 2025 utatembelea na kukagua miradi ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 10 katika Halmashauri zote mbili za Wilaya ya Babati Babati Mji na Babati…