Radio Tadio

Habari za Jumla

14 September 2025, 8:59 am

Manyara kudhibiti ukondefu

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewataka maafisa lishe kukomesha tatizo la ukondefu mkali na utapiamlo Kwa kuifikia jamii na kutoa elimu Ili kudhibiti tatizo Hilo. Na Mzidalfa Zaid Sendiga ametoa kauli hiyo Leo katika kikao Cha tathimini ya…

13 September 2025, 2:22 pm

Katibu wa vijana CHADEMA Nyarugusu ajiunga CCM

Vyama mbalimbali vya siasa nchini vimeendelea na kampeni ya kunadi sera za ila i ya vyama vyao kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Na: Mwandishi wetu Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) kata ya Nyarugusu,…

11 September 2025, 12:22 pm

Wagonjwa Katavi wanufaika na simba day

Mashabiki wa simba wakitoa zawadi kwa uongozi wa kituo cha afya Itenka. Picha na Anna Mhina “Tunawashukuru sana wanasimba kwa kutukumbuka” Na Anna Mhina Jamii imeshauriwa kujitokeza katika kushiriki shughuli za kijamii ikiwemo uchangiaji wa damu katika vituo vya afya…

11 September 2025, 9:43 am

RC Sendiga asikiliza na kutatua kero za wananchi

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga  amesikiliza na kutatua kero za wananchi kutoka wilaya zote za Mkoa wa Manyara katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Na Mzidalfa Zaid Katika kikao hicho Sendiga amesikiliza…

10 September 2025, 09:28

RC Kigoma ahimiza viongozi wa dini kuhubiri amani

Serikali ya Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na Serikali Kuu imesema itaendelea kusimamia Sera na mikakati ya kudumisha amani, usalama na Maendeleo kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, IGP Mstaafu Balozi Simon…

9 September 2025, 8:54 pm

Umiliki wa silaha lazima uzingatie masharti

Na Zabron G Balimponya Wakili wa Kujitegemea kutoka Chama cha Mawakili Tanganyika, Akram Magoti amesema kuwa matumizi ya silaha yasiyozingatia sheria kanuni na utaratibu kutoka kwa msajili wa silaha ni kosa kisheria hali ambayo inaweza kusababisha mmiliki kufutiwa leseni. Wakili…

7 September 2025, 2:16 am

Vastuullinen Rahapeliala Suomessa: Lainsäädännön Muutos Edistää Pelaajien…

Rahapelimarkkinat Suomessa ovat kokeneet merkittävän muutoksen viime vuosikymmenen aikana, ja uusi sääntelykehys tarjoaa sekä pelaajille että operaattoreille selkeämmän ja turvallisemman toimintaympäristön. Yksi keskeisistä kehityksen kulmakivistä on viimeisimmät lainsäädännölliset uudistukset, jotka pyrkivät ehkäisemään ongelmapelaamista ja edistämään rahapelien vastuullista pelaamista. Mitä uudet…