Habari za Jumla
26 May 2025, 12:43
Maonesho ya biashara, viwanda na kilimo yafana Mbeya
Dkt Juma Homera. Picha na Samwel Mpogole Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi kushiriki maonesho ili waweze kunufaika na fursa lukuki. Na Samwel Mpogole. Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Mbeya imeandaa maonesho makubwa ya kibiashara yaliyoanza Mei…
May 26, 2025, 12:37 pm
Biashara zavurugika Isongole kufuatia kufungwa kwa mpaka wa Malawi
Kufungwa kwa mpaka wa Isongole imekuwa kilio kwa wafanyabiashara wa mpakani hususani wanaouza mazao nje ya nchi Na Kennedy Sichone Wafanyabiashara wa Isongole na maeneo ya jirani katika Wilaya ya Ileje, Mkoa wa Songwe, April 28 mwaka huu wameiomba serikali…
24 May 2025, 9:18 pm
Wananchi wahimizwa kuchukua tahadhari dhidi ya majanga Wilaya ya Kati
Wilaya ya Kati. Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ya Majanga mbalimbali yanayotokezea katika Jamii ikiwemo Majanga ya kuunguliwa na Moto na Upepo mkali. Afisa wa kukabiliana na Maafa Wilaya ya Kati Ali Haji Khamis ameyasema hayo wakati akiwakabidhi Vifaa vya Ujenzi…
24 May 2025, 8:25 pm
Wananchi wa Mwamashindike walia na ubovu wa barabara
“Sekta ya miundombinu ya barabara ni Moja kati ya ajenda muhimu Sana kwa ustawi wa jamii yetu maana ndiyo inayotumika kusafirishia mazao mbalimbali kutoka huko kijijini kuja sehemu za masoko lakini ikitaka kufungua uchumi wako lazima Kwanza ufungue barabara zako…
24 May 2025, 15:29
Kada CCM ajitosa kuvaa viatu vya Dk Tulia Mbeya
Kuelekea uchaguzi Mkuu October 2025 baadhi ya makada kupitia vyama vyao vya siasa wameanza kutangaza nia zao kuwania nafasi mbalimbali ikiwemo udiwani,ubunge na urais. Na Ezra Mwila Kada wa chama cha mapinduzi na mwandishi wa habari mkoani Mbeya Charles…
23 May 2025, 7:18 pm
Mashirikiano ndiyo nguzo ya kufanikisha malengo ya serikali
Wilaya ya Kati. Kuwepo kwa mashirikiano mazuri katika Taasisi za Umma ni chachu ya kufika malengo waliojiekea katika kuwaletea maendeleo Wananchi.Mkuu wa Wilaya ya Kati Cassian Gallos Nyimbo ameyasema hayo wakati wa makabidhiano ya Ofisi kwa mkurugenzi mpya w Baraza…
23 May 2025, 3:23 pm
Jeshi la Polisi Kusini Unguja lasisitiza uwajibikaji wa wakaguzi wa shehia
Na Omar Hassan. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP. Daniel Shillah amewahimiza wakaguzi wa Polisi waliopangiwa kufanya kazi katika Shehia mbalimbali kuwatumikia wananchi na kuwajengea mazingira tulivu ya kiusalama na kwamba atawachukulia hatua…
21 May 2025, 4:31 pm
Ekari 20 za mazao zafyekwa na wafugaji Kiteto
Wakazi wa kijiji hicho wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ili wafugaji hao wapate sehemu za malisho. Na Kitana Hamis.Zaidi ya Ekari 20 za shamba lenye mazao ya mahindi na alizeti za kulima Twalib Shaban zimefyekwa na wafugaji wa jamii ya…
19 May 2025, 5:03 pm
Zanzibar kuimarisha mfumo wa taarifa za kijiografia kwa maendeleo endelevu
Na Mary Julius. Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said, ameitaka Tume ya Mipango Zanzibar kuandaa waraka mahsusi utakaoelezea kwa kina namna ya utekelezaji wa mfumo wa ukusanyaji, uhifadhi, na usambazaji wa taarifa…
19 May 2025, 3:12 pm
Matukio ya wizi yakomeshwa,ulinzi shirikishi watajwa
Ulinzi shirikishi katika mtaa wa Mpadeco kata ya Makanyagio manispaa ya Mpanda mkoani Katavi umetajwa kuwa moja ya njia inayosaidia kutokomeza matukio ya kihalifu Wakizungumza na Mpanda Redio FM baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mpadeco wamesema kuwa ulinzi shirikishi…