Radio Tadio

Habari za Jumla

9 April 2021, 1:02 pm

ATCL yashauriwa kuajiri watu wenye ufanisi

Na; Pius Jayunga. Serikali kupitia shirika la ndege Tanzania ATCL imeshauriwa kuajili watu wenye taaluma ya maswala ya anga ili kuleta ufanisi katika utendaji kazi ulio bora ikiwa ni pamoja na kubadili mfumo wa manunuzi ndani ya Serikali. Ushauri huo…

9 April 2021, 12:16 pm

Mwanaume (32) wilayani Chato ajinyonga hadi kufa

Na Mrisho Sadick: Mtu mmoja mwenye umri wa miaka (32)  mkazi wa kijiji cha Izumangabo kata ya Bwanga wilayani chato mkoani Geita amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kikoi cha mke wake huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Tukio…

9 April 2021, 9:59 am

Vijiji vyote kupatiwa umeme katika awamu ya tatu ya REA

Na; Yussuph Hans. Serikali imesema inawahakikishia Wananchi wa maeneo yote ya Vijijini  yaliyokuwa hayajapata Umeme katika awamu zilizopita kuwa, yatapata Umeme katika awamu ya Tatu ya mzunguko huu wa pili wa REA . Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na…

9 April 2021, 9:21 am

Wananchi waombwa kutoa ushirikiano ili kukomesha mwendokasi

Na; James Justine. Mamlaka ya udhibiti usafiri  ardhini LATRA imetoa ombi kwa wananchi kuendelea kutumia namba za simu zilizopo kwenye mabasi endapo dereva  ataendesha  gari kwa mwendo kasi wakiwa safarini. Taarifa hiyo imetolewa na afisa mfawidhi mamlaka ya udhibiti usafiri…

9 April 2021, 8:37 am

Nkonko wakomesha mimba shuleni, kwa kujenga bweni

Na; Seleman Kodima. Uongozi wa  Kijiji cha Nkonko kilichopo Wilayani Manyoni Mkoani Singida umefanikiwa kujenga bweni la wasichana katika Secondari ya Kijiji hicho ili kupunguza tatizo la mimba shuleni. Hayo yamesemwa na  Diwani wa Kata ya Nkonko Bw.Ezekiel Samwel ambapo…

8 April 2021, 4:52 pm

Ukeketaji bado ni tishio kwa mabinti

Moja kati ya mila na desturi za Wakurya  mkoani Mara ilikuwa ni ukeketaji kwa kiasi kikubwa madhara ya ukeketaji yalikuwa hayafichuliwi  kutokana unyeti wa suala hilo. Rhoda Komanchi mkazi wa Bunda Balili anaeleza kuhusu hatari iliyotokea kwa watoto wake wawili…