Radio Tadio

Habari za Jumla

6 January 2023, 11:40 am

Watoto wote waende Shule-Rc Mtaka

  Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka amewataka wazazi/walezi wenye watoto waliofikia umri wa kuanza darasa la kwanza kuwapeleka shule ifikapo tarehe 9, Januari 2023. Akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe kwenye Baraza la 7 la wafanyabiashara…

4 January 2023, 9:31 am

Daraja lasombwa na Maji Mwakauta-Makete

  Daraja la Mbao lililokuwa likitumiwa na watembea kwa miguu wanaovuka kutoka Kijiji cha Mwakauta kwenda kupata huduma za Afya Hospitali ya Bulongwa limesombwa na Maji baada ya mvua kubwa kunyesha siku kadhaa zilizopita. Ni siku 5 zimepita wananchi wa…

30 December 2022, 8:22 am

Mzazi atakayemtorosha mwanafunzi atasoma yeye-Dc Sweda

  Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewataka wazazi kuacha tabia ya kutowapeleka wanafunzi shule na kuwatorosha kwenda mijini kufanya biashara huku wakijua wanawanyima watoto haki ya Msingi ya kupata elimu. Mhe. Sweda amesema mzazi/mlezi ambaye hatompeleka mwanafunzi…

30 December 2022, 6:54 am

Waandishi wa Habari wakutana Mkoani Njombe

  Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Njombe, Njombe press club NPC kimefanya mkutano mkuu mkoa humo huku agenda kuu za mkutano huo mkuu ikiwa ni Marekebisho ya katiba pamoja na kubariki uongozi wa muda ulio kuwa umechaguliwa kuendelea…

30 December 2022, 6:39 am

Afariki Dunia kwa kusombwa na Maji Makete

  Bibi anayekadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 80 afariki kwa kusombwa na Maji kijiji cha Lupalilo Wilaya ya Makete akijaribu kuvuka mto juu ya daraja dogo katika mto Idetele unaotenganisha Kijiji cha Lupalilo na Ilevelo. Baadhi ya wanandugu wamesema…

29 December 2022, 7:54 am

Milioni 170 kujenga Daraja Kijiji cha Makwaranga-Makete

Serikali imeanza ujenzi wa Daraja la Zege litakalounganisha Kijiji cha Ipelele na Makwaranga Kata ya Ipelele Wilaya ya Makete lenye thamani ya zaidi ya Milioni 170. Daraja hilo litawafanya wananchi wa vijiji hivyo kutumia barabara ya Ipelele-Makwaranga yenye urefu wa…