Radio Tadio

Habari za Jumla

29 January 2023, 7:54 am

UWT Njombe wapanda miti Ilumaki Sekondari

Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe wamefanya Maadhimisho ya miaka 46 ya Chama cha Mapinduzi Wilayani Makete kwa kupanda miti kuzunguka eneo la shule ya Sekondari Ilumaki iliyopo Kata ya Lupalilo Wilaya ya Makete. Zoezi hilo limefanywa…

27 January 2023, 7:55 am

Jamii ijikite kusuluhisha Migogoro-Mhe. Ivan Msaki

Hakimu mkazi mfawidhi Mahakama ya Wilaya ya Makete Mh. Ivan Msaki amesema jamii ikijikita katika utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi kutaifanya jamii yenyewe  kuishi bila uhasama. Mh. Msaki ameyasema hayo januari 25,2023  wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo…

27 January 2023, 7:28 am

Wazazi wawajibike kulea Watoto-Mwanasheria Makete

Wananchi wametakiwa kuhakikisha wanahudumia Familia hususani watoto pale wazazi/wanandoa wanapokuwa wametengana kwa sababu mbalimbali. Rai hiyo imetolewa na Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Makete Ndg. Appolo Laizer akizungumza na Kitulo FM kwenye Kipindi cha Daladala tarehe 27…

25 January 2023, 4:00 pm

MNEC Njombe ampongeza DC Makete kuaminiwa na Rais

Mwakilishi wa Mkutano Mkuu CCM Taifa Mkoa wa Njombe (MNEC) Ndg. Abraham Okoka amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda kwa kuaminiwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwatumikia wananchi wa Makete MNEC ametoa pongezi hizo leo…

25 January 2023, 2:18 pm

Wazazi Sababu Wanafunzi kufanya Vibaya Mitihani

Wazazi na walezi katika kijiji cha nyamande kilichopo kata ya kitandililo halmashauri ya mji wa Makambako wametajwa kuwa sababu ya wanafunzi hasa wa darasa la saba kufanya vibaya katika mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi. Wazazi hao wametajwa kuwashawishi watoto…

25 January 2023, 2:16 pm

Katekista Kizimbani kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi

Katekista wa kanisa la Roman Catholic parokia ya Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe Simon Njavike (43) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya hiyo kwa Tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu (17) ambaye jina lake limehifadhiwa. Akisomewa shitaka hilo…