Radio Tadio

Habari za Jumla

26 Julai 2022, 6:55 um

Funguni Sekondari yapokea Milioni Mia Mbili za Mabweni.

Shule ya Sekondari Funguni iliyopo Wilayani Pangani mkoani Tanga imepokea kiasi cha pesa shilingi millioni mia mbili  kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wakike na wakiume. Akizungumza na Pangni FM katibu tawala Wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange…

25 Julai 2022, 6:51 um

MASHIMBA NDAKI AWAONYA WATENDAJI WANAOTAFUNA FEDHA ZA MICHANGO YA MAE…

Waziri  wa  Mifugo  na  Uvuvi   na  Mbunge  wa  Jimbo  la  Maswa  Magharibi  Mh  Mashimba  Mashauri  Ndaki  amewaonya  watendaji  wa  vijiji  na  Kata  wanaotafuna  Fedha  za  Michango  ya   Maendeleo  ya  Wananchi wanazowachangisha  kisha  kutowasomea  Mapato  na  Matumizi na   kuwapa  Mrejesho. Waziri  …

4 Julai 2022, 1:15 um

Wauguzi na wakunga waaswa kuepuka kupokea rushwa

Na; Benard Filbert. Wauguzi na wakunga wameaswa kuepuka kupokea rushwa katika maeneo yao ya kazi na kuwahudumia wagonjwa kwa uaminifu ili kulinda na kutunza heshima ya taaluma hiyo. Hayo yameelezwa na Jane Mazigo mkuu wa idara ya usajili na maadili…

30 Juni 2022, 11:11 mu

Wakulima Pangani kupima hali ya Udongo wa Mashamba yao.

Wakulima wilayani Pangani mkoani Tanga wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima hali ya afya ya udongo katika mashamba yao ili kutambua njia bora ya kusimamia ukuaji wa mazao yao na kuongeza tija katika shughuli zao za kilimo. Hayo yamezungumza na…